Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Asante kwa taarifaYagangwe yajayo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa taarifaYagangwe yajayo...
Mkuu enzi za marsha walikuwepo wengi sana hiyo pamba ilikua na watu balaa..vizazi vile wengi walikua wanajua mpiraHuyo nova Kama hajadanganya Umri atakuwa mchezaji wetu wa pili kucheza ligi za ulaya Kwa mafanikio,the boy is majestic namba sita Bora Tanzania baada ya Hussein Masha
Umemuweka mdogo kwenye malengo ya baadae ni sahihi ila kujua wote ni familia ya mpira..Namuona mdogo Ayoubu ndo anaujua mkubwa umri
Wewe bhana ungenyoosha tu maelezo. Mwambie aache bange, acheze mpira.Leo nashuka hapa kumumpa Wosia
Kiungo wa Azam Sospeter Bajana kipaji kikubwa anacho japo kulikuwa na walakini kwenye jina lake
Mimi ni shabiki wa Azam fc kipindi unatumia jina la Brayson Raphael mbona hukuwa kiburi?
Au kitambaa cha unahodha ulichokivaa nusu msimu uliopita kipindi Agrey na sure boy wamefungiwa kimekupa kiburi?
Mimi Kama shabiki yako number moja juzi nmeumizwa sana na iko kitendo cha kutolewa na kurusha mikono juu mbele ya Agrey moris na Kali ongara au kisa ulicheza nao ni wachezaji wako ndiyo maana unawachukulia poa?
YOU NEED TO CHANGE MASTER View attachment 2349970
Huyu Kelvin Nashon siku akisajiliwa Yanga, nitafarijika sana.Kuna dogo anaitwa Kelvin Nashon, Kuna Novatus Dismass halafu kaka yao Mzee wa kazi chafu Sospter Bajana.
Cha ajabu taifa stars inawanga'ng'ani kina mzamiru..
Mfanyakazi hewakwann alibadili jina?
Yepi hayo,mpe jibu.Mambo ya kawaida tu
Walimtia[emoji38][emoji38][emoji38]Azam walikuwa sahihi kumtia alikuwa anatafuta kadi nyekundu
Huyu ni mwekahazina,aliyeamua siyo kuiba pesa bali aliuza na kampuni yenyewe kisha akajikamua uhaiWapo wale wakina Lyanga pia..nilijua unatoza ushuru tuu kumbe hata mpira unaujua vizuri..
Alicheza Fainali kombe la Dunia la watoto wa mtaani.Ngolo kante wa bongo
Mbona hatukupata chochote?Mkuu enzi za marsha walikuwepo wengi sana hiyo pamba ilikua na watu balaa..vizazi vile wengi walikua wanajua mpira
Kura sikupiHabari yako ndugu,
Pongezi kwa nakala nzuri yenye mawaidha na tija kwa jamii. Hakiki kila mmoja ni kioo cha jamii yake.
Ndugu, nikiamini katika uchakataji wako wa mambo na uwezo wako wa fikra na ubunifu, naomba ukipendezwa, nipate kura, mawazo au mapendekezo yako juu ya nakala ihusuyo:-
SoC02 - Yafanyike haya kuikomboa NHIF
Chanzo: Picha na JamiiForums Yafanyike haya kuikomboa NHIF Katika kutekeleza dhima na dira ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika kutimiza majukumu ya utoaji wa huduma ya Afya kwa kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo (2025), Sera ya Afya ya mwaka 2007, Mpango Mkakati wa Tano wa Sekta...www.jamiiforums.com
Ahsante!!
Basi inabidi awaone watu wa saikolojia haraka iwezekanavyo. Maana anaonekana kuwa na tatizo bila shaka, nje ya kipaji chake cha mpira.Havuti bange mkuu
alibet refa akatibuaAzam walikuwa sahihi kumtia alikuwa anatafuta kadi nyekundu