Kkkk we Manara usihofu muda si mrefu nitakutoa kifungoni ila 20M lazima ulipe!Sawa karia
Kelvin Nashon [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Kuna dogo anaitwa Kelvin Nashon, Kuna Novatus Dismass halafu kaka yao Mzee wa kazi chafu Sospter Bajana.
Cha ajabu taifa stars inawanga'ng'ani kina mzamiru..
Wapo wale wakina Lyanga pia..nilijua unatoza ushuru tuu kumbe hata mpira unaujua vizuri..Kuna dogo anaitwa Kelvin Nashon, Kuna Novatus Dismass halafu kaka yao Mzee wa kazi chafu Sospter Bajana.
Cha ajabu taifa stars inawanga'ng'ani kina mzamiru..
Mwamba unajua boli umenitajia shilingi za 6 za boli hasa huyo Novatus na Bajana.Viungo wa haswa haswa haoo.Kuna dogo anaitwa Kelvin Nashon, Kuna Novatus Dismass halafu kaka yao Mzee wa kazi chafu Sospter Bajana.
Cha ajabu taifa stars inawanga'ng'ani kina mzamiru..
Wote wale ni watu wa mpira mkuu ila mkubwa ana njaa zaidi...anajua sanaLyanga gani Mkubwa au mdogo?
Huyo nova Kama hajadanganya Umri atakuwa mchezaji wetu wa pili kucheza ligi za ulaya Kwa mafanikio,the boy is majestic namba sita Bora Tanzania baada ya Hussein MashaKuna dogo anaitwa Kelvin Nashon, Kuna Novatus Dismass halafu kaka yao Mzee wa kazi chafu Sospter Bajana.
Cha ajabu taifa stars inawanga'ng'ani kina mzamiru..
Ngolo kante wa bongoKelvin Nashon [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]