Soud brown ni mtangazaji aliye amua kuishi kitumwa

Soud brown ni mtangazaji aliye amua kuishi kitumwa

Kama kuchagua brand soud kachagua,anajipa shida muda mwingi kwa kuvaa mask,akitaka kula lazima afunue kofia lake,hivi najiuliza kwenye matukio ya kijamii inakuaje,msiba,kuchimba kaburi,harusi,na kama ameoa alienda na mask ukweni?kama ndiyo basi kamuoa mtoto wa chid benzi[emoji12] [emoji12]

we ni mdada?
 
daah yan yule jamaa hta sura yake siijui do sijui yukoje,,,,
Huyo hapo[emoji116] [emoji116][emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
bcd44cc8fa4d302c61547272c2b2fb80.jpg
 
Back
Top Bottom