Soudy Brown afanyiwa interview, kumbe alikuwa anafanya kazi TBC

Soudy Brown afanyiwa interview, kumbe alikuwa anafanya kazi TBC

Jamaa sio mtu wa mchezomchezo. Shilawadu shilawadu, nawaona mnakula tu ubuyu
 
Wanasemekana wakifanya kwich kwichiii si Mara ya kwanza tela liiiveee
 
Nampenda sana soudy, huo umbea wake ndo namkubali zaidi....
 
ec12f8081997b88b176731353b6a1bfe.jpg
 
Huyu jamaa ni mbeya hadi anajistukiaga kuwa ni mbeya
 
Back
Top Bottom