Soudy Brown analazimisha bifu na WCB lakini wapi

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Mtangazaji wa kipindi cha shilawadu kinachorushwa na clouds tv Soudy brown ameonekana kutafuta bifu na WCB hasahasa diamond platnumz.... maana kila ambacho wanakifanya lazima akikosoe kwa mafumbo sana lakin yanayoonekana
Cha ajabu ni kwamba WCB ni kama wamegoma kutoa kiki, maana hakuna siku walowahi kumjibu.....
#soudyanapatatabusana... 😂😂😂😂

1. Siku ya show ya wasafi festival mwanza mvua ilinyesha... km ilivyolipotiwa na dizzimonline👇👇
Screenshot_20181216-142228.png

Alichopost soudy kama diss kwa wasafi....👇👇👇
Screenshot_20181216-141452.png

2. Hii ni show ya mwanza ambayo ilikuwa sold out... maana tiketi zote ziliisha kwa mujibu wa wasafi
Screenshot_20181216-141957.png

Na hili ndo jibu la soudy....
Screenshot_20181216-141233.png

Na akaongeza pia hii.....👇👇👇
Screenshot_20181216-141639.png

3. Dongo jingine linaloonekana kuwaendea Wasafi ni hili hapa 👇👇👇
Screenshot_20181216-141345.png

4. Bila kusahau hili la ndege lililotokea juzi... kijana ameonekana kuwachokonoa sana hawa jamaa

Lakini cha kushangaza wasafi wapo kimya tu.... inamaanisha wamemkaushia jamaa yetu. Kumbukumbu zinaonesha kipindi cha shilawadu kilikuwaga na nguvu sana kipindi kile Mond hawajakorofishana na clouds.... sahv imebaki historia hamna cha kushtua saana km kipindi kile cha hereni 😂😂😂
Kwahiyo jamaa anatapatapa sana sahiv sababu kishakosa mvuto....

Anyway mond kapata shabiki wake mkubwa sana ambaye kila siku haipiti bila kujua kafanya nini ili apate cha kuandika
Na ikumbukwe wakati akihojiwa na lil ommy pale Times fm, mond ashawahi sema ye ni "maji" usipoyanywa lazima uogee...

Japo mbunge mkubwa fella kaonesha kukerwa na soudy lakin hakuna mashambulizi ya kutosha km yale yaliyoibuka kati ya fiesta na festival tar. 24/11.
NAWASILISHA
 
Attachments

  • Screenshot_20181216-142225.png
    Screenshot_20181216-142225.png
    57.3 KB · Views: 52
Mtangazaji wa kipindi cha shilawadu kinachorushwa na clouds tv Soudy brown ameonekana kutafuta bifu na WCB hasahasa diamond platnumz.... maana kila ambacho wanakifanya lazima akikosoe kwa mafumbo sana lakin yanayoonekana
Cha ajabu ni kwamba WCB ni kama wamegoma kutoa kiki, maana hakuna siku walowahi kumjibu.....
#soudyanapatatabusana... 😂😂😂😂

1. Siku ya show ya wasafi festival mwanza mvua ilinyesha... km ilivyolipotiwa na dizzimonline👇👇
View attachment 970948
Alichopost soudy kama diss kwa wasafi....👇👇👇
View attachment 970952

2. Hii ni show ya mwanza ambayo ilikuwa sold out... maana tiketi zote ziliisha kwa mujibu wa wasafi
View attachment 970950
Na hili ndo jibu la soudy....
View attachment 970954
Na akaongeza pia hii.....👇👇👇
View attachment 970951

3. Dongo jingine linaloonekana kuwaendea Wasafi ni hili hapa 👇👇👇
View attachment 970953

4. Bila kusahau hili la ndege lililotokea juzi... kijana ameonekana kuwachokonoa sana hawa jamaa

Lakini cha kushangaza wasafi wapo kimya tu.... inamaanisha wamemkaushia jamaa yetu. Kumbukumbu zinaonesha kipindi cha shilawadu kilikuwaga na nguvu sana kipindi kile Mond hawajakorofishana na clouds.... sahv imebaki historia hamna cha kushtua saana km kipindi kile cha hereni 😂😂😂
Kwahiyo jamaa anatapatapa sana sahiv sababu kishakosa mvuto....

Anyway mond kapata shabiki wake mkubwa sana ambaye kila siku haipiti bila kujua kafanya nini ili apate cha kuandika
Na ikumbukwe wakati akihojiwa na lil ommy pale Times fm, mond ashawahi sema ye ni "maji" usipoyanywa lazima uogee...

Japo mbunge mkubwa fella kaonesha kukerwa na soudy lakin hakuna mashambulizi ya kutosha km yale yaliyoibuka kati ya fiesta na festival tar. 24/11.
NAWASILISHA
Siku hizi sudy amekuwa kama mke mdogo wa diamond ule wivu umepitiliza
 
Siku hizi sudy amekuwa kama mke mdogo wa diamond ule wivu umepitiliza kweli kweli
 
We utakua Mkubwa fela manake Jana nae alutoa povu sana huko insta!
Naona Uzi wako mwingine hapa clouds yapigwa gep na wasafi
 
Hahahaaaaah 😂😂😂😂 nawe ushaanza kunisakama kama soudy kwa mond.... 🙌🙌🙌
 
Hilo swala la nyimbo ya Kiba you tube kumbe nalo ni dongo kwa wcb?
Jiwe limetupwa gizani hatimae limempata muhusika
 
Likipindi lao Dstv linabore...mara hamisa hivi mara vile...aaargh.
 
Back
Top Bottom