Soudy Brown analazimisha bifu na WCB lakini wapi

Soudy Brown analazimisha bifu na WCB lakini wapi

Jamaa toka atoke jela, amekuwa na mambo ya kimama sana sijui huko jela walimfanya nini!
 
Mtangazaji wa kipindi cha shilawadu kinachorushwa na clouds tv Soudy brown ameonekana kutafuta bifu na WCB hasahasa diamond platnumz.... maana kila ambacho wanakifanya lazima akikosoe kwa mafumbo sana lakin yanayoonekana
Cha ajabu ni kwamba WCB ni kama wamegoma kutoa kiki, maana hakuna siku walowahi kumjibu.....
#soudyanapatatabusana... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

1. Siku ya show ya wasafi festival mwanza mvua ilinyesha... km ilivyolipotiwa na dizzimonline[emoji116][emoji116]
View attachment 970948
Alichopost soudy kama diss kwa wasafi....[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 970952

2. Hii ni show ya mwanza ambayo ilikuwa sold out... maana tiketi zote ziliisha kwa mujibu wa wasafi
View attachment 970950
Na hili ndo jibu la soudy....
View attachment 970954
Na akaongeza pia hii.....[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 970951

3. Dongo jingine linaloonekana kuwaendea Wasafi ni hili hapa [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 970953

4. Bila kusahau hili la ndege lililotokea juzi... kijana ameonekana kuwachokonoa sana hawa jamaa

Lakini cha kushangaza wasafi wapo kimya tu.... inamaanisha wamemkaushia jamaa yetu. Kumbukumbu zinaonesha kipindi cha shilawadu kilikuwaga na nguvu sana kipindi kile Mond hawajakorofishana na clouds.... sahv imebaki historia hamna cha kushtua saana km kipindi kile cha hereni [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo jamaa anatapatapa sana sahiv sababu kishakosa mvuto....

Anyway mond kapata shabiki wake mkubwa sana ambaye kila siku haipiti bila kujua kafanya nini ili apate cha kuandika
Na ikumbukwe wakati akihojiwa na lil ommy pale Times fm, mond ashawahi sema ye ni "maji" usipoyanywa lazima uogee...

Japo mbunge mkubwa fella kaonesha kukerwa na soudy lakin hakuna mashambulizi ya kutosha km yale yaliyoibuka kati ya fiesta na festival tar. 24/11.
NAWASILISHA
 
Leo kipind chao walikuwa wanamhoj hamisa.... kweli nmeamin shilawadu inajengwa na mond... bila habari zinazomhusu mind kwa mwaka mmoja tu kipind kingeshakuwa chali.... sema kuchokonoachokonoa ishu za wcb ndo kunakiweka mjini kipind chao
 
Leo kipind chao walikuwa wanamhoj hamisa.... kweli nmeamin shilawadu inajengwa na mond... bila habari zinazomhusu mind kwa mwaka mmoja tu kipind kingeshakuwa chali.... sema kuchokonoachokonoa ishu za wcb ndo kunakiweka mjini kipind chao

Soudy ni Mtoto mdogo sana,haya mambo ya ufukunyakuzi anaiga tu.....Ajaribu kubadilika.
 
jot.PNG
 
Aaaah 😂😂😂 broe naona na ww unanfanyia ufukunyuzi.... mi ckatai n team WCB ndakindaki.... na naongelea ukweli wa mambo ulivyo na sio propaganda fake km za soudy za kuponda kila kitu kiwe kibaya au kizuri.... afu we utakuwa mdau wa pale clouds... km sio mtangazaji bax mpiga sogo za vipindi vya clouds
 
Aaaah [emoji23][emoji23][emoji23] broe naona na ww unanfanyia ufukunyuzi.... mi ckatai n team WCB ndakindaki.... na naongelea ukweli wa mambo ulivyo na sio propaganda fake km za soudy za kuponda kila kitu kiwe kibaya au kizuri.... afu we utakuwa mdau wa pale clouds... km sio mtangazaji bax mpiga sogo za vipindi vya clouds
Mbona wewe unasifia kila kitu.. una tofauti gani na Soudy anayeponda kila kitu?
 
Mbona wewe unasifia kila kitu.. una tofauti gani na Soudy anayeponda kila kitu?
Kama wanazingua mbona huwa nasema? Au umeanza kunifahamu kupitia hii avata nyingine???
 
Back
Top Bottom