masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Afanye mambo yake mbona habari ziko nyingi tu akomae ata na Nandy atauza tuKwahiyo ulitaka amsifie?? Wabongo mbona mnapenda kupangiana maisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afanye mambo yake mbona habari ziko nyingi tu akomae ata na Nandy atauza tuKwahiyo ulitaka amsifie?? Wabongo mbona mnapenda kupangiana maisha?
Mtangazaji wa kipindi cha shilawadu kinachorushwa na clouds tv Soudy brown ameonekana kutafuta bifu na WCB hasahasa diamond platnumz.... maana kila ambacho wanakifanya lazima akikosoe kwa mafumbo sana lakin yanayoonekana
Cha ajabu ni kwamba WCB ni kama wamegoma kutoa kiki, maana hakuna siku walowahi kumjibu.....
#soudyanapatatabusana... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1. Siku ya show ya wasafi festival mwanza mvua ilinyesha... km ilivyolipotiwa na dizzimonline[emoji116][emoji116]
View attachment 970948
Alichopost soudy kama diss kwa wasafi....[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 970952
2. Hii ni show ya mwanza ambayo ilikuwa sold out... maana tiketi zote ziliisha kwa mujibu wa wasafi
View attachment 970950
Na hili ndo jibu la soudy....
View attachment 970954
Na akaongeza pia hii.....[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 970951
3. Dongo jingine linaloonekana kuwaendea Wasafi ni hili hapa [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 970953
4. Bila kusahau hili la ndege lililotokea juzi... kijana ameonekana kuwachokonoa sana hawa jamaa
Lakini cha kushangaza wasafi wapo kimya tu.... inamaanisha wamemkaushia jamaa yetu. Kumbukumbu zinaonesha kipindi cha shilawadu kilikuwaga na nguvu sana kipindi kile Mond hawajakorofishana na clouds.... sahv imebaki historia hamna cha kushtua saana km kipindi kile cha hereni [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo jamaa anatapatapa sana sahiv sababu kishakosa mvuto....
Anyway mond kapata shabiki wake mkubwa sana ambaye kila siku haipiti bila kujua kafanya nini ili apate cha kuandika
Na ikumbukwe wakati akihojiwa na lil ommy pale Times fm, mond ashawahi sema ye ni "maji" usipoyanywa lazima uogee...
Japo mbunge mkubwa fella kaonesha kukerwa na soudy lakin hakuna mashambulizi ya kutosha km yale yaliyoibuka kati ya fiesta na festival tar. 24/11.
NAWASILISHA
Leo kipind chao walikuwa wanamhoj hamisa.... kweli nmeamin shilawadu inajengwa na mond... bila habari zinazomhusu mind kwa mwaka mmoja tu kipind kingeshakuwa chali.... sema kuchokonoachokonoa ishu za wcb ndo kunakiweka mjini kipind chao
Aaaah 😂😂😂 broe naona na ww unanfanyia ufukunyuzi.... mi ckatai n team WCB ndakindaki.... na naongelea ukweli wa mambo ulivyo na sio propaganda fake km za soudy za kuponda kila kitu kiwe kibaya au kizuri.... afu we utakuwa mdau wa pale clouds... km sio mtangazaji bax mpiga sogo za vipindi vya cloudsWewe na soudy wote kazi yenu ni moja, sema ulichomzidi ni wivu tu, wewe ni mtu wa propaganda wa WCB na soudy wa Clouds, sema mziki wake mmeushindwa mnaanza kulialia humu.
Hivi kwa thread zako unatofauti gani na
Suddy
Kwa hii ngoma ya 'Jibebe' WCB wameleta Mshindani wa 'Kwangwaru' - JamiiForums
Hebu tuyaangazie mafanikio ya Diamond Platnumz mwaka huu wa 2018. Tunaweza pata cha kujifunza - JamiiForums
Huyu ndiye Mwanamke mzuri kuliko wote E.Afrika - JamiiForums
Hapa ukawa unaisifia mbunye ya diamond, duh. Hatari!
Diamond Platnumz aahidi kuwafanyia kufuru wanatandale - JamiiForums
Kwa hii nyomi ya Diamond platnumz wa enzi hizo kuna kitu inabidi ajifunze... - JamiiForums
Kwa hizi views YouTube, Mbosso anakuja juu zaidi ya Aslay... - JamiiForums
Show ya Wasafi festival yaahirishwa usiku huu Sumbawanga kisa kushuka kwa bonge la mvua - JamiiForums
Clouds Media yapigwa gepu na Wasafi Media YouTube - JamiiForums
Mbona wewe unasifia kila kitu.. una tofauti gani na Soudy anayeponda kila kitu?Aaaah [emoji23][emoji23][emoji23] broe naona na ww unanfanyia ufukunyuzi.... mi ckatai n team WCB ndakindaki.... na naongelea ukweli wa mambo ulivyo na sio propaganda fake km za soudy za kuponda kila kitu kiwe kibaya au kizuri.... afu we utakuwa mdau wa pale clouds... km sio mtangazaji bax mpiga sogo za vipindi vya clouds
kumbe unaangalia hii ni dalili ya kuwakubali kimoyomoyoLikipindi lao Dstv linabore...mara hamisa hivi mara vile...aaargh.