Soudy Brown analazimisha bifu na WCB lakini wapi

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Mtangazaji wa kipindi cha shilawadu kinachorushwa na clouds tv Soudy brown ameonekana kutafuta bifu na WCB hasahasa diamond platnumz.... maana kila ambacho wanakifanya lazima akikosoe kwa mafumbo sana lakin yanayoonekana
Cha ajabu ni kwamba WCB ni kama wamegoma kutoa kiki, maana hakuna siku walowahi kumjibu.....
#soudyanapatatabusana... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

1. Siku ya show ya wasafi festival mwanza mvua ilinyesha... km ilivyolipotiwa na dizzimonlineπŸ‘‡πŸ‘‡

Alichopost soudy kama diss kwa wasafi....πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


2. Hii ni show ya mwanza ambayo ilikuwa sold out... maana tiketi zote ziliisha kwa mujibu wa wasafi

Na hili ndo jibu la soudy....

Na akaongeza pia hii.....πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


3. Dongo jingine linaloonekana kuwaendea Wasafi ni hili hapa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


4. Bila kusahau hili la ndege lililotokea juzi... kijana ameonekana kuwachokonoa sana hawa jamaa

Lakini cha kushangaza wasafi wapo kimya tu.... inamaanisha wamemkaushia jamaa yetu. Kumbukumbu zinaonesha kipindi cha shilawadu kilikuwaga na nguvu sana kipindi kile Mond hawajakorofishana na clouds.... sahv imebaki historia hamna cha kushtua saana km kipindi kile cha hereni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwahiyo jamaa anatapatapa sana sahiv sababu kishakosa mvuto....

Anyway mond kapata shabiki wake mkubwa sana ambaye kila siku haipiti bila kujua kafanya nini ili apate cha kuandika
Na ikumbukwe wakati akihojiwa na lil ommy pale Times fm, mond ashawahi sema ye ni "maji" usipoyanywa lazima uogee...

Japo mbunge mkubwa fella kaonesha kukerwa na soudy lakin hakuna mashambulizi ya kutosha km yale yaliyoibuka kati ya fiesta na festival tar. 24/11.
NAWASILISHA
 

Attachments

  • Screenshot_20181216-142225.png
    57.3 KB · Views: 52
Siku hizi sudy amekuwa kama mke mdogo wa diamond ule wivu umepitiliza
 
Siku hizi sudy amekuwa kama mke mdogo wa diamond ule wivu umepitiliza kweli kweli
 
We utakua Mkubwa fela manake Jana nae alutoa povu sana huko insta!
Naona Uzi wako mwingine hapa clouds yapigwa gep na wasafi
 
We utakua Mkubwa fela manake Jana nae alutoa povu sana huko insta!
Naona Uzi wako mwingine hapa clouds yapigwa gep na wasafi
Hahahaaaaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nawe ushaanza kunisakama kama soudy kwa mond.... πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hilo swala la nyimbo ya Kiba you tube kumbe nalo ni dongo kwa wcb?
Jiwe limetupwa gizani hatimae limempata muhusika
 
Sudi roho inamuuma talk of the town ni WCB.
 
Likipindi lao Dstv linabore...mara hamisa hivi mara vile...aaargh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…