Soudy Brown na Kwisa wanaishi wapi?

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Salute,

Binafsi sipendezwi sana na umbeya ambao huwa wanafanya Soudy na Kwisa lakini kwa bahati mbaya wifi yenu anakipenda sana hivyo kuna wakati najikuta naangalia kilazima.

Nimekuwa na hamu sana ya kufahamu hawa vijana wakiwa mtaani ni vijana wa aina gani? wanaishi wapi? wakiwa mtaani wanashinda na watu wa aina gani? ni walevi? wavutaji? wamejenga? wana magari?

Kifupi ni kwamba wanaishi ishi vipi wakiwa huko mtaani?
 
wanaishi kama waishivyo vijana wengine chipukizi ktk kujitafutia kipato

nimejibu moja tu wanaishije?

wengine watakwambia wanaishi wapi n.k
 
Fuatilia maisha yako wenzako wapo kujitafutia kipato... Na ni maarufu nchi nzima
 
Ngoja ruge mutahaba atakuja kulijibia hilo
 
We ni shilawadu mzur tu sasa unauliza ili iweje
 
Kwisa tunakaa nae huku ushuan soudy anakaa nae ushuan hko mjini na kwisa ni mzee wa kijamaika sana. Note:waache watafute ugal kwa jins walivochagua usitake kujua wanakaa wapi
 
Yaan Jf bhana kila mtu mjuaji yaani kusema kua sifahamu au kupita kimya kimya aah utaona wanavyotoa majibu ya kejeli kumbe hawajui na wametia sign kijanja ili atakaejibu na wao wajue, siku nyingine utaona wanatiririka hahaha.

pole mtoa post ila nahisi hao watu data zao hazipo wazi kiiivile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…