BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Salute,
Binafsi sipendezwi sana na umbeya ambao huwa wanafanya Soudy na Kwisa lakini kwa bahati mbaya wifi yenu anakipenda sana hivyo kuna wakati najikuta naangalia kilazima.
Nimekuwa na hamu sana ya kufahamu hawa vijana wakiwa mtaani ni vijana wa aina gani? wanaishi wapi? wakiwa mtaani wanashinda na watu wa aina gani? ni walevi? wavutaji? wamejenga? wana magari?
Kifupi ni kwamba wanaishi ishi vipi wakiwa huko mtaani?