Soudy Brown na Kwisa wanaishi wapi?

unataka ukawatyu tyutyuu, maana umeshaonesha chuki kwao.
 
Ahahhaa inawezekana unakaa kabisa kuhusu kuulizia habari za wanaume wenzio
Kuna watu wana asili ya UMBEA. hata kama kitu hakitamsaidia atajitahidi tu kufahamu kwa undani.

Huu ni ugonjwa na aibu kubwa sana kwa Mwanaume.
 
Mi nataka nijue yule Suzy wa eatv anaishi wapi?
 
Umesema hupendi umbea ila naona kilichopo hapa pia ni umbea
 
kwa hayo maswali yako ni kwamba na wewe umeshakuwa MMBEYA maana hayo maswali yako ndio umbeya wenyewe huo jichunguze
 
Kwisa tunakaa nae huku ushuan soudy anakaa nae ushuan hko mjini na kwisa ni mzee wa kijamaika sana. Note:waache watafute ugal kwa jins walivochagua usitake kujua wanakaa wapi
NI

KWISA NI MZEE WA KIJAMAIKA SANA-Hii maana yake ni anapenda jani la ARACHUGA SANA nini? ndio maana miwani mieusi usiku kitu kinakuwa kimekolea
 
NI

KWISA NI MZEE WA KIJAMAIKA SANA-Hii maana yake ni anapenda jani la ARACHUGA SANA nini? ndio maana miwani mieusi usiku kitu kinakuwa kimekolea
yaah umeona mkuu ndo hivo miwan inahusika sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…