Soudy Brown na Shilawadu mmeshindwa kunyapia harusi ya Zamaradi? Kweli hakunaga Uhuru wa habari

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237

Wanajamvi leo picha za harusi ya Zamaradi Mketema aliyekuwa mpenzi wa Ruge bosi wa Clouds media akiolewa na bwana mwingine zimeenea mtandaoni.

Cha ajabu nimezungukia page za vijana wa kunyapia Soudy Brown na mwenzie sijaona habari za kunyapianyapia. Kweli nimeamini hakuna uhuru wa habari bali kuna uhuru wa mwenye chombo hivi kweli angekuwa ameolewa staa mwingine yeyote kwa siri namna hii hii ingekuwa habari kubwa sana kwa shilawadu clouds na akina Millard Ayo waki speculate sasa wote kimya.
 
kama c movie ni kipindi kipya uyu anavyopenda promo
 
Tambua si kila mtu anafuatiliwa na watu .

Huyo Zamaradi anajulikana na watu wachache sana kwa hiyo hata habari zake hazileti msisimko.

Hapo wangekuwa mastaa kama Wema ,Jokate ,Lulu,Mobeto hizo habari ungezipata Mubashara.
 
Mkuu huyu mbona fomous sana na vip ruge kuna asie mjua???
 
Mkuu huyu mbona fomous sana na vip ruge kuna asie mjua???
Wapo wengi tu hawamjui Ruge.

Pia wapo wengi tu hawamjui Zamaradi Mketema.

Na vile vile anaweza kweli akawa anajulikana na wengi lakini akawa hana mvuto wa kufatiliwa habari zake.

Mfano Juma Nature anajulikana sana lakini mvuto wa kufatilia anachokifanya hana.

Anaweza akaachia ngoma lakini watu wasijiangaishe kuitafuta lakini muda huo huo mtu kama Diamond akiachia wimbo ndani ya masaa mawili tu views wanafika 100K+.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…