Soudy Brown na Shilawadu mmeshindwa kunyapia harusi ya Zamaradi? Kweli hakunaga Uhuru wa habari

Soudy Brown na Shilawadu mmeshindwa kunyapia harusi ya Zamaradi? Kweli hakunaga Uhuru wa habari

Zama Muislam,Ruge si Muislam.
Ndoa ingetokea wapi hapo kwa mfano?
Kwani watoto wametokea wapi? Maana ya ndoa ni nini? Ikiwa imani tofauti via vya uzazi vinaziba? Imani kitu cha kufikirika tu na mtu anaweza kukibadili muda wowote au anaweza kuwa na ndoa bila kuhusisha imani. Maana ya NDOA ni contextual.
 
Hivi kuna WANAUME wanapenda UMBEYA KIASI HIKI? Aau wewe mkuu mleta mada ni mwanamke?
 
Tatizo unachukua sample kwa vijana wa rika lako na wanaokuzunguuka..kuna mwingine anaweza akashangaa kama humjui mheshimiwa Magembe ama Kigwangala ama humjui Jimmy Mwenda Bosco ama humjui Juma Kaseja (Tanzania ina watu wengi wenye interest tofauti na ndio maana usishangae mtu akawa hawajui hao wote na kama anawajua basi ni kwa kiwango cha kusikia majina tu ukileta picha achague hawajui)
Ni kweli Mkuu, kuna watu hawamjui Maxence Mello lakini wanamjua Alex Iwobi, m-Nigeria wa Arsenal!
 
ivi bado ataendelea kufanya kazi clouds kweli
 
Kwani watoto wametokea wapi? Maana ya ndoa ni nini? Ikiwa imani tofauti via vya uzazi vinaziba? Imani kitu cha kufikirika tu na mtu anaweza kukibadili muda wowote au anaweza kuwa na ndoa bila kuhusisha imani. Maana ya NDOA ni contextual.
Imani kitu cha kufikirika ndio.
Ndo kimekuwa kikwazo,kama si imani wangeoana.
 
0c56173e0283a3ad5a2153b82ff78438.jpg
 
Kawashiwa moto alianza kuifukunyua kafuta post zote hahaha ukimnyapia boss uwe umepata kazi kwingine
 
Back
Top Bottom