Kwani watoto wametokea wapi? Maana ya ndoa ni nini? Ikiwa imani tofauti via vya uzazi vinaziba? Imani kitu cha kufikirika tu na mtu anaweza kukibadili muda wowote au anaweza kuwa na ndoa bila kuhusisha imani. Maana ya NDOA ni contextual.Zama Muislam,Ruge si Muislam.
Ndoa ingetokea wapi hapo kwa mfano?