Soudy Brown na SHILAWADU wamuongeze Mau kunogesha

Mgibeon

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
11,308
Reaction score
21,507
Kwanza niweke wazi kwamba mimi sio mfuatiliaji sana wa vipindi vyenye maudhui ya kiubuyu-ubuyu ndio sababu hata instagram ilinishindaga since then.

Ila nimekuja kugundua watu wengi wanapenda sana haya mambo, hivyo kibiashara inapendeza sana.

Sasa nilitaka niwashauri kitu kimoja, kwenye hicho kipindi chenu cha umbeya kinachoruka siku kama ya leo ijumaa muongezeni na Yule muigizaji mchekeshaji MAU... kwa jinsi alivyo na mambo yake trust me atakinogesha sana Hicho kipindi chenu, ofcoz hata nyinyi mnafanya vizuri kwasababu umbeya/ubuyu mnauweza! Ila na jamaa(MAU) akiwepo kitavutia zaidi.

Mwisho tafuteni sponser wa hicho kipindi.. Mengine nawaachia engeener wa tv yenu, waambie picha bado hajitoki vizuri sana.. so wajitahidi.
 
Mau na kina sudi wap na wap jamani!!
Halafu hata hujaeleza Mau ata kipambaje hiko kipindi
Au ndo unampa ufagio mau!!!?
*any way mi si msikilazaji wa hiko kipind ila ngoja waje hapa waskilizaj wakujaji
 
mau wa nini pale mbona wenyewe wanajitosheleza sana tu kipindi kinapendeza sana uyo mau kama ndg yako sisi mashabiki hatumtaki aendelee kuchekesha insta
 
Msaada kuwa muuzaji wa ubuyu mtamu wa shilawadu, yeyote anayejua
 
Hahahah JF bana.
avatar yako inankumbusha nimerud toka job, nkamkuta wife mdomo umejaa rangi hyo nkamwambia wife hzo zabibu c utakuwa umemaliza box zima, aisee ntamwambia ajrembe tena. maana it was colour meet the taste hatariest,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…