Soudy Brown na SHILAWADU wamuongeze Mau kunogesha

Soudy Brown na SHILAWADU wamuongeze Mau kunogesha

Mkuu kama vepee x umuajiri akuchekeshe na mama na watoto home bhado utakuwa umemsaidia maana ajira ngumu kila kona
 
Kwanza niweke wazi kwamba mimi sio mfuatiliaji sana wa vipindi vyenye maudhui ya kiubuyu-ubuyu ndio sababu hata instagram ilinishindaga since then.

Ila nimekuja kugundua watu wengi wanapenda sana haya mambo, hivyo kibiashara inapendeza sana.

Sasa nilitaka niwashauri kitu kimoja, kwenye hicho kipindi chenu cha umbeya kinachoruka siku kama ya leo ijumaa muongezeni na Yule muigizaji mchekeshaji MAU... kwa jinsi alivyo na mambo yake trust me atakinogesha sana Hicho kipindi chenu, ofcoz hata nyinyi mnafanya vizuri kwasababu umbeya/ubuyu mnauweza! Ila na jamaa(MAU) akiwepo kitavutia zaidi.

Mwisho tafuteni sponser wa hicho kipindi.. Mengine nawaachia engeener wa tv yenu, waambie picha bado hajitoki vizuri sana.. so wajitahidi.
kweli
 
Kuchekesha kumemshinda hataweza kutangaza?? Wapenzi wa shilawadu hatumtaki[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom