Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kwa hakika kama unamfuatilia Soudy kwa makini utagundua fika kuwa umbeya wake umejikita kwa wasanii wa bongo muvi na bongo fleva , video vixens ,na wana mitindo .
Kamwe huwezi kumuona Soudy akileta ubuyu kuhusu viongozi au mtu yoyote anaye deal na mambo ya serikali.
Mfano kwa ishu ya kipipi cha le mutuz nilitarajia kuona ubuyu wa moto moto kutoka kwa Soudy lakini holaaaa lakini kama ingekuwa ni msanii wa maigizo au muziki hapo angeunyapia nyapia wiki nzima na kupost hiyo habari kwa ukaribu zaidi.
Kikubwa nilichogundua huyu jamaa huwa ana post ubuyu wa watu wanaomchekea chekea ukimtishia kidogo tu anaogopa , mfano kipindi kile dogo janja alipompiga biti kuhusu ndoa yake na Uwoya Soudy aliogopa na kufuta post zote zilizohusu ndoa ya janjaro na Uwoya na akaufyata mkia.
Sasa kwa mwendo huu inaonesha kabisa hautendei haki umbeya inabidi mapinduzi yafanyike kwenye sekta ya umbeya Soudy yameshamshinda inabidi tupate mtu atakaye tuletea umbeya bila uoga.
Tchaooooooo.