Soudybrown wa CMG Diamond Platnumz anao uwezo wa kukuajiri Umfulie tu Nguo zake za ndani

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Moja kati ya watu wanaoiharibia clouds na kuipotezea mashabiki ni hili kundi la shilawadu, Vijana wamekuwa ni watu wa shari sana na hawapendi maendeleo ya waliowazidi kimaisha.

Bifu la Platnumz na Clouds lilianza pale baada ya Soudy na Kwisa kushushiwa kipigo kikali na Moze Iyobo yote sababu ya kufuatilia maisha ya watu. Baada ya hapo Soudy akawa anamchukia sana Diamond platnuz, wakaanza kumpandisha Aslay ili ampoteze Platnumz lakini mwishowe ikashindikana na Aslay wamemtelekeza, Wakaja kwa Alikiba nae wamempandisha mwishoe wakanyoosha mikono juu.

Soudy amekuwa akimfuatilia sana Platnumz kwa maeneno ya chini chini lakini Platnumz amekuwa haangaiki kumjibu, Soudy now amekuwa yupo tayari kusifia chochote hata kama kibovu ilimradi tu akipambanishe na cha Diamond Platnumz lakini anachemka.

Nimkumbushe tu Soudy Diamond kwa sasa sio Level zake, yaani kamzidi kwa kila kitu na ndio maana juzi Diamond kajitolea Millioni 68 kule Sumbawanga Simple tu kwa ajili ya ujenzi wa shule .

Diamomd anao uwezo wa kumuajiri na kumlipa Soudy mshahara anaolipwa pale Clouds kwa ajili ya kumfulia tu Boxa zake za ndani, Anao uwezo wa kuwalipa Kwisa na Soudy mshahara uleule wanaoupata pale Clouds kwa ajili ya Usafi wa Nyumba yake pale Madale simple tu .

Vijana Muache Dharau msisubirie hadi mtu atangulie mbele za haki kama The great kanumba ndio mzinduke usingizini kukumbuka mchango wake na kuacha majungu yenu.
 
Wana hali mbaya sana hao majamaa saivi.
Afu kama wanagundu hivi..kila wanachogusa lazima kipotee.
 
Jina LA Diamond Platinumz ni kubwa kuliko Clouds Media (FM+TV) kuna baadhi ya wilaya hapa TZ hata hawafahamiki, ni bora wakaendelea kuwasumbua kina Chid Benz
 
hivi ni mimi tu au hao jamaa washilawadu siwaelewagi
 
mkuu,
kwahiyo uliona ni sahihi sana kwa mose iyobo kuwashushi kipigo mapaparazi???????
sishangai kuona ukimsifia DAB kwa kuvaima radio station
 
MMESHACHUKULIANA MABWANA. NYIE WADADA FANYENI KAZI ACHENI KUDANGA. SASA WEWE UNAYEMFULIA KWA SASA UNALIPWA SH NGAPI? acheni kudanga fanyeni kazi akina wanawake siyo mnajidhalilisha na wote hapo si ajabu hakuna hata aliyeolewa.


 
Wana hali mbaya sana hao majamaa saivi.
Afu kama wanagundu hivi..kila wanachogusa lazima kipotee.
Walisahau wcb ndio kilikuwa kituo chao cha umbea saaa wanaforce
 
Jina LA Diamond Platinumz ni kubwa kuliko Clouds Media (FM+TV) kuna baadhi ya wilaya hapa TZ hata hawafahamiki, ni bora wakaendelea kuwasumbua kina Chid Benz
[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…