Soulmate

Soulmate

Africasana

Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
14
Reaction score
21
Habari wanajamvi wenzangu!!
Naomba twende moja kwa moja kwenye maada lengwa ili nisiwachoshe, ni mara ya pili nimerudi kwenu

Mm ni jinsia ME, umri wangu miaka 30, mrefu kiasi, mweusi kawaida.
Elimu yangu ni Shahada lkn sijabahatika kupata kazi, hivo najishughulisha na biashara za kawaida. Naishi Mwanza
Nipo hapa kutafuta mwenza ambae yupo serious na anaejua nini maana ya maisha.

Awe na umri usiopungua miaka 22 na usiozidi 31
Asiwe mlevi (bora awe mnywaji ila sio mlevi)
Awe anaishi Mwanza au mikoa iliyopo karibu na Mwanza itakua vizuri zaidi, awe na hofu ya Mungu

Mimi ni Mkristo, lakini dini kwangu sio kigezo hata kidogo. Kwa aliyepo tayari naomba aje DM au email zklevarist@gmail.com
 
Back
Top Bottom