Soundbars vs Subwoofer vs Hi-Fi

Baba Rhobi

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2020
Posts
1,611
Reaction score
2,881
Wakubwa kama title inavojieleza nahitaji kujua tofauti ya vitu hivyo vitatu hapo juu, na kwa mahitaji ya muziki mzito uliotulia ni kipi cha kuzingatia hapo juu.

VS
 
Sijatumia sound bar,ila subwoofer na hi-fi nachukua hi- fi....mziki unachujwa htr...hiyo kitu hata kama Kuna msumari ulikua unagongwa wakati wa kurekodi unasikia vzr....subwoofer ni makelele tu kama umetumia hi-fi....
Mkuu emu weka picha ya hio Hi-Fi make hata picha sijaziona na tofauti yake na woofers ni ipi.
 
hi-fi ni subwoofer iliyongangamka,hata muonekano wake auvutii kuwa ndani,mara mia ukikosa soundbar basi angalau uishe na home theatre.
Mkuu home theatre na mziki mzito ni tatizo.
Zile ni kwa ajili ya movies sana sana ndo maana sikuziweka hapo.
 
Umeshawahi kutana na home theater ya kuanzia 1000W ya brand ya Sony au LG mzee? Ile kitu inatoa mziki ambao unaweza mfanya mtoto mchanga alale usingizi mzuri.
Mziki una Chanel mbili tu,tofauti na movies.

Kwa hiyo ,unapoplay muziki kwenye home theater spika zote zinakaa kimya isipokuwa spika mbili tu ndiyo zinacheza.

Home theater system ni kwa ajili ya movies,jamaa yupo sahihi.
 
Mziki una Chanel mbili tu,tofauti na movies.

Kwa hiyo ,unapoplay muziki kwenye home theater spika zote zinakaa kimya isipokuwa spika mbili tu ndiyo zinacheza.

Home theater system ni kwa ajili ya movies,jamaa yupo sahihi.
mkuu kwa upande wako soundbars na woofers unachagua kipi kwa ajili ya mziki.
 
Nina uzoefu na sony Home theatre w 1000 ni nzuri sana. Unasikia kila kitu kwenye mziki hata zile ala ndogo kabisaaa

Kwenye movie ndo nyumban kwakeee
 
Ok then, hebu mtuwekee na bei ya hizo sound bar zenyewe ili tujue inasimamia wp ili tujipange mapema tusije kuibika na haya ma sea peano.🗑️🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…