Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
Wakubwa kama title inavojieleza nahitaji kujua tofauti ya vitu hivyo vitatu hapo juu, na kwa mahitaji ya muziki mzito uliotulia ni kipi cha kuzingatia hapo juu.
VS
VS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu emu weka picha ya hio Hi-Fi make hata picha sijaziona na tofauti yake na woofers ni ipi.Sijatumia sound bar,ila subwoofer na hi-fi nachukua hi- fi....mziki unachujwa htr...hiyo kitu hata kama Kuna msumari ulikua unagongwa wakati wa kurekodi unasikia vzr....subwoofer ni makelele tu kama umetumia hi-fi....
Where is a pic for Hi-fi machine?Wakubwa kama title inavojieleza nahitaji kujua tofauti ya vitu hivyo vitatu hapo juu, na kwa mahitaji ya muziki mzito uliotulia ni kipi cha kuzingatia hapo juu.
View attachment 2957031
VSView attachment 2957033
Where is a pic for Hi-fi machine?
Zamani hii kiatu ilikuwa mjumuisho wa bass, treble na stereo
Mkuu home theatre na mziki mzito ni tatizo.hi-fi ni subwoofer iliyongangamka,hata muonekano wake auvutii kuwa ndani,mara mia ukikosa soundbar basi angalau uishe na home theatre.
Umeshawahi kutana na home theater ya kuanzia 1000W ya brand ya Sony au LG mzee? Ile kitu inatoa mziki ambao unaweza mfanya mtoto mchanga alale usingizi mzuri.Mkuu home theatre na mziki mzito ni tatizo.
Zile ni kwa ajili ya movies sana sana ndo maana sikuziweka hapo.
Mziki una Chanel mbili tu,tofauti na movies.Umeshawahi kutana na home theater ya kuanzia 1000W ya brand ya Sony au LG mzee? Ile kitu inatoa mziki ambao unaweza mfanya mtoto mchanga alale usingizi mzuri.
uko sahihi.Mkuu home theatre na mziki mzito ni tatizo.
Zile ni kwa ajili ya movies sana sana ndo maana sikuziweka hapo.
mkuu kwa upande wako soundbars na woofers unachagua kipi kwa ajili ya mziki.Mziki una Chanel mbili tu,tofauti na movies.
Kwa hiyo ,unapoplay muziki kwenye home theater spika zote zinakaa kimya isipokuwa spika mbili tu ndiyo zinacheza.
Home theater system ni kwa ajili ya movies,jamaa yupo sahihi.
soundBar watt 1000 okyo, JBL, Sony, pioneer, jvc, phillips Kama unapenda base classicUmeshawahi kutana na home theater ya kuanzia 1000W ya brand ya Sony au LG mzee? Ile kitu inatoa mziki ambao unaweza mfanya mtoto mchanga alale usingizi mzuri.
Sound bar ni special kwa ajili ya music.mkuu kwa upande wako soundbars na woofers unachagua kipi kwa ajili ya mziki.
Mkuu Sound bar Vs Home theatre ipi kali???hi-fi ni subwoofer iliyongangamka,hata muonekano wake auvutii kuwa ndani,mara mia ukikosa soundbar basi angalau uishe na home theatre.
Sound bar.Mkuu Sound bar Vs Home theatre ipi kali???