Soup ya mchanganyiko wa nyama ya ng’ombe, figo na maini

Soup ya mchanganyiko wa nyama ya ng’ombe, figo na maini

Huwa nautumia kulisha Kuku
Tanga uduvi au dagaa kamba ni wakubwa wakubwa ila uduvi Wa ziwa Victoria na mtera ni wadogo wadogo sana.
Harufu ya shombo ya uduvi iliwahi niletea kizaazaa nikiwa kwa bibi Tanga uncle wangu alinisuspect mjazito wakati hata sealed haijafunguliwa aisee, tulizipiga balaa.
Sasa hivi hawanitapishi ila siwali nawalisha Kuku
Kumbe si wengi wanakula uduvi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mavi ya kwako?
Ungenyamaza kimya, lugha ni pana, lugha hukua n.k hiyo ndio tabia ya lugha, siku nyingine jibu kwa hekima usijifanye unajua kutoa majibu, hunifahamu sikufahamu, unao wajibu ovyo endelea kuwa jibu ovyo ila sio mimi. Iwe mwanzo na mwisho Alaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uduvi mtamu jaman uekewe na pilipili[emoji39][emoji39]
Hiyo supu nitaijaribu
 
Back
Top Bottom