Source of income

Source of income

Mr chidumule

New Member
Joined
Jun 26, 2019
Posts
1
Reaction score
2
1,DAGAA WA BUKOBA
Dagaa hawa wanapatikana masoko mengi, hawa wanakua hawana mchanga kabisa, wanauzwa kg moja elfu nane huwa inashuka had elfu tano, hawa unanunua vifuko unapack unauza mtaani kifuko buku

Kwenye kilo moja unaweza toa vifuko 15 sawa na elfu kumi na tano so elfu mbili vifuko elfu tano faida. Pia unaweza uza dagaa wa kigoma, zanzibar au mwanza waliokangwa
 
VIP wale wa Mwanza unao?

Ungeandika kwa ufafanuzi ili tujue kama unawauza au unatoa wazo la biashara ,msiwe mnakimbilia ku post bila kuhariri makosa na lengo la ujumbe kwa wasomaji
 
Mpaka kuwapack si inabidi uwakaange mbona hizo gharama hujaweka...au tunapack moja kwa moja toka sokoni..
 
Mtoa post maliza shule Kwanza unaonekana bado mwanafunzi
 
Back
Top Bottom