South Africa: Rais amekatisha ziara kwa sababu ya mafuriko na kukatika kwa umeme

South Africa: Rais amekatisha ziara kwa sababu ya mafuriko na kukatika kwa umeme

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
11,936
Reaction score
15,196
chanzo DW mchana wa leo

Pametokea mafuriko huko SA. Hali hiyo imepelekea nchi hiyo kukosa umeme kwa siku tatu mfululizo.

Kwa kuona na kwa kujali wananchi wake, raisi wa huko amekatisha ziara yake nje ya nchi kuja kuungana na wananchi wake kukabiliana na hali hiyo. Ametoa siku tatu kuikabili hali hiyo.

Hapa kwetu Rais aliwatukana waathirika wa tetemeko kule Bukoba, walikufa mapolisi 16 kule Mkiru hajaenda, kwenye ajali ya kivuko Mwanza hajaenda na kwingineko kwingi.

Huyu mzee wa uzinduzi ataenda kwenye tukio gani? Hao Watanzania wanaowajali ni kina nani?

Je ni wale wa kimara waliobomolewa nyumba?
Je ni wale wanafunzi waliokosa mikopo?
Je ni watumishio wa umma waliokosa fursa ya kupata mikopo ya vyua?
 
Tuliambiwa ni mto ngono ndio wa kuulaumu 🤣
 
Back
Top Bottom