Tatizo wewe unachanganya serikali na MTU binafsi. Kama Mimi ningekua ninaidai serikali ya South Afrika na haitaki kunilipa, ningeenda mahakamani kuomba AMRI ya kuzuia Mali za South Afrika, na ningefanya exactly kama alivyofanya huyo mzungu.
Na nchi yoyote inayofuata utawala wa sheria, ni lazima Amri ya MAHAKAMA itekelezwe bila kuingiliwa na mtu yoyote yule akiwemo rais wa nchi.
Nchi za kishenzi kama Kenya, ndio ambazo haziheshimu wala kutekeleza amri za MAHAKAMA, pamoja na MAHAKAMA ya Kenya kuamuru Miguna Miguna kuruhusiwa kurudi Kenya na kumrudishia Passport yake ya Kenya, hadi Leo Serikali ya Kenya imekataa kutekeleza AMRI halali ya MAHAKAMA " Kenya is a banana Republic"