South Africa seizes their most respected African country, Tanzania's plane.

South Africa seizes their most respected African country, Tanzania's plane.

Tatizo wewe unachanganya serikali na MTU binafsi. Kama Mimi ningekua ninaidai serikali ya South Afrika na haitaki kunilipa, ningeenda mahakamani kuomba AMRI ya kuzuia Mali za South Afrika, na ningefanya exactly kama alivyofanya huyo mzungu.

Na nchi yoyote inayofuata utawala wa sheria, ni lazima Amri ya MAHAKAMA itekelezwe bila kuingiliwa na mtu yoyote yule akiwemo rais wa nchi.

Nchi za kishenzi kama Kenya, ndio ambazo haziheshimu wala kutekeleza amri za MAHAKAMA, pamoja na MAHAKAMA ya Kenya kuamuru Miguna Miguna kuruhusiwa kurudi Kenya na kumrudishia Passport yake ya Kenya, hadi Leo Serikali ya Kenya imekataa kutekeleza AMRI halali ya MAHAKAMA " Kenya is a banana Republic"
Naaam nimefurahi sana kujua kumbe unatambua kuna nchi RULE OF LAW inazingatiwa,case closed.
 
Naaam nimefurahi sana kujua kumbe unatambua kuna nchi RULE OF LAW inazingatiwa,case closed.
Mimi pia nimefurahi kuona kwamba serikali ya South Africa haipaswi kulaumiwa katika hili, huu ni uzembe wetu wenyewe ni lazima tuwajibishwe.
 
SA wametufundisha vitu viwili hapa Rule of Law inazingatiwa na sio yale mambo tuliozea ya mtu kupewa amri na akifanikisha anapandishwa cheo( case ya sugu na hakimu wake ni mfano hai kuhusu hili).

Pili wametufundisha inapokuja suala la maslahi ya mwananchi wake hawacheki na mtu hapo regardless ya nchi zina mahusiano mazuri kiasi gani.
Exactly! Na linapokuja suala la utawala wa sheria na demokrasia, huwa nawaonea wivu sana SA kwa sababu kwa viwango vya Afrika, jamaa wapo mbali sana!
 
Yes ni mzungu, ulidhani ni mkikuyu?. Yeye ameenda mahakamani na akapewa AMRI ya kukamata Mali yoyote ya Tanzania.
Hivi serikali ya Afrika Kusini inaongozwa na mzungu? Nilijua wewe ni mbumbumbu ila sii kiasi hii.
 
Hivi serikali ya Afrika Kusini inaongozwa na mzungu? Nilijua wewe ni mbumbumbu ila sii kiasi hii.
Kwani MAHAKAMA ni serikali?, unadhani South Afrika ni banana republic kama Kenya ambapo Serikali inaweza kuingilia maamuzi ya MAHAKAMA?, hadi Leo Miguna Miguna amekataliwa kurudi Kenya kinyume na Amri ya MAHAKAMA.
 
Back
Top Bottom