South Africa to relax visa rule for Kenyans

Kati ya Tanzania na Kenya nani anaabudu SA? Mmeondoa mpaka visa ili waingie Kenya free halafu wamewakatalia kiwaruhusu kuingia Kwao free! Listen to urself!
 
tutaipata visa tu ucjali..kenya benefits SA more than any east african country

Huo ndio ukweli, hawa jamaa kiherehere kiliwapeleka kwa hicho hudanganyia kuhusu liberation war, na hadi leo hawajanufaika, bado maskini wa kutupwa.
 
Huo ndio ukweli, hawa jamaa kiherehere kiliwapeleka kwa hicho hudanganyia kuhusu liberation war, na hadi leo hawajanufaika, bado maskini wa kutupwa.
Tunatema liberation terminology tu! Bado kutambua business of government is business.
 
Hivi sababu ilikuwa ni nini hadi wakenya kupata visa za SA ikawa ngumu kuliko hata za ulaya na marekani?

Nina rafiki yangu ameapply sasa ni miezi miwili hajapata!! Wakati wabongo tunaapply ndani ya wiki unabeba visa yako.
Acha kupiga fix watu, mimi nakwenda South Africa mara kwa mara siombi viza ubalozini napewa entry Airport.

Unapokuwa muongo ni vizuri uwe na kumbukumbu.
 
Tunatema liberation terminology tu! Bado kutambua business of government is business.

Huu unafiki wenu wakenya unani-bore sana! pumbavu zenu kelele zote export yenu ni chini ya $50 mln!


Kenya is seeking to offset trade imbalance with South Africa by focusing on services where the East African country has a comparative advantage.

Industrialisation secretary Adan Mohamed on Tuesday met South Africa’s minister of Trade and Industry Rob Davies to discuss a framework for engagement before the end of the year.

According to the Export Promotion Council, Kenya’s imports from South Africa have increased from $287.7 million in 2003 to $ 477.4 million in 2007, a rise of about 66 per cent while exports have been decreasing from $51 million in 2004.

This means that the share of Kenya’s total exports in the South Africa’s global imports has remained below one per cent.


During bilateral talks with Mr Davies, Mr Mohamed agreed to hold match making meetings between business delegations from Kenya and South Africa during a state visit later in the year.

Mr Davies said South Africa was keen on building trade in services with its African counterparts which it has not explored.

β€œWe want to have measurable and tangible progress because countries meet sign frameworks but have very little follow-up activity,” he said.

The South African minister said the country had come up with Trade Investment African arm to encourage the countries companies to expand trade into the continent.

Kenya is also seeking access into the South African market for mainly tea and avocado exports.

Mr Davies said this could happen if the countries speed up implementation of the tripartite free trade agreement that would bring together the East African Community, the Common Market for Eastern and Southern Africa (Comesa) and Southern African Development Community.

β€œI know Kenya wants a bilateral with us on tea and avocado but how do we do it, it will be addressed under the tripartite,” he said.

Mr Mohamed has also been holding sideline bilateral talks with governments to build networks for future engagements.

Yesterday, he was scheduled to meet Sri Lanka minister of Industry and Commerce Risad Badhiutheen and International Trade Centre chief executive Arancha Gonzalez and hosted a high level CEO matchmaking breakfast and textile sector.

Kenya is also backing African Union intra-African trade where President Uhuru Kenyatta called for the establishment of a Continental Free Trade Area.

The President said boosting intra-African trade would accelerate integration, develop larger markets and foster competition which will help in poverty reduction, growth and sustainable development.

β€œEqually, pooling economies and markets through regional integration will provide a sufficiently wide economic and market space to make new economies of scale,” said President Kenyatta.

He expressed concern that while 40 per cent of North American trade is with other North American countries and 63 per cent of trade by countries in Western Europe is with other Western European nations, only about 12 per cent of African trade is with other African nations.

State Department of Trade PS Chris Kiptoo also called on the wealthy commonwealth nations to increase investment in vital infrastructure that would make a substantial impact on exports and strengthen the resilience of Africa’s member countries’ economies to shocks.

He said increased trade partnerships with African member countries would boost their integration to the global economy as capital intensive infrastructure are a trade barrier between to increased trade between the partner nations.

β€œWhile the continent is spending over $131 billion on infrastructure-related construction which is expected to grow to $200 billion by 2015, there’s an existing funding gap that needs to be addressed,” said Dr Kiptoo said during the Commonwealth ministerial meeting.

Kenya mulls how to bridge trade gap with South Africa

While Tanzania, South Africa is number three ahead of Kenya number five in the list of top exports !

The top export destinations of Tanzania are Switzerland ($767M), India ($702M), South Africa($631M), China ($354M) and Kenya ($313M). The top import origins are China ($3.57B), India($1.77B), South Africa ($442M), the United Arab Emirates ($424M) and Malaysia ($256M).

OEC - Tanzania (TZA) Exports, Imports, and Trade Partners
 
Swali lililopo jamvini ni kwanini wakenya wanakataliwa kuingia South Africa bila visa, kama ambavyo South Africans wanavyoingia Kenya bila visa, jibu limepatikana ni kwasababu Kenya walisaliti Africa nzima katika kipindi cha ukombozi, hayo mengine tusubiri kukiulizwa swali lingine. Japo inauma lakini ni ukweli kuhusu usaliti wa Kenya.
 
upumbavu wao ndo unawafanya kula mabua! Wako protectionist waliwavimbia SA! Kumbuka beerwar e.t.c. sasa wanakula jeuri yao Safaricom imenyakuliwa!
 
Kati ya Tanzania na Kenya nani anaabudu SA? Mmeondoa mpaka visa ili waingie Kenya free halafu wamewakatalia kiwaruhusu kuingia Kwao free! Listen to urself!

Hatujaoendolea SA pekee, hata Burundi tumewaondolea. Hii ina maana sio SA tunaabudu bali tuko kipaumbele in pan-Africanism.
 
Hatujaoendolea SA pekee, hata Burundi tumewaondolea. Hii ina maana sio SA tunaabudu bali tuko kipaumbele in pan-Africanism.
Nyang'au tangu lini anatoa kipaumbele kwenye pan africanism! Burundi ni mambo ya EAC! ila export yenu kwa SA inatia aibu less than $50 mln! seriously?
 
Nyang'au tangu lini anatoa kipaumbele kwenye pan africanism! Burundi ni mambo ya EAC! ila export yenu kwa SA inatia aibu less than $50 mln! seriously?
Pia Mozambique iko EAC? Sisi tuko kipaumbele katika Pan-Africanism. Usichezee nyang'au.
 
Hatujaoendolea SA pekee, hata Burundi tumewaondolea. Hii ina maana sio SA tunaabudu bali tuko kipaumbele in pan-Africanism.
Hahahahahahahahahahahahahaha, leo hii baada ya kuona wazungu wameondoka Africa baada ya kushindwa vita, ndio Kenya inakumbuka Pan-Africanism?, wakati wazungu wananyanyasa na kuwaua waafrika kama wadudu ndio kipindi Pan-Africanism ilikua muhimu zaidi kulika sasa.

Mama....... Hata zile nchi zilizowasaliti wakati wa kupigania uhuru ziko hapa mama.

Jambo la kishanga ni kwamba, nchi hizo hizo ndizo zinazodai kwamba zinathamini Pan - Africanism, zaidi kuliko hata sisi tuliomwaga damu

Mama, hukutuambia tuwafanye nini, "We are waiting for your signal".
 
Nenda kacharge simu kwanza. Jibu nitakalokupa ni refu hutaweza kulijibu mara moja considering unaishi nyumba ya nyasi isiyo na stima.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kijijini kwetu, almost all people have mobile phones and they charge them, but there is nor electricity.
 
Huo ndio ukweli, hawa jamaa kiherehere kiliwapeleka kwa hicho hudanganyia kuhusu liberation war, na hadi leo hawajanufaika, bado maskini wa kutupwa.
liberation warπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mbavu zangu jamani
 
Kati ya Tanzania na Kenya nani anaabudu SA? Mmeondoa mpaka visa ili waingie Kenya free halafu wamewakatalia kiwaruhusu kuingia Kwao free! Listen to urself!
tumondolea nchi nyingi sana mambo ya viza kama hujajua sio SA tu...nyie mpaka waimbaji wamo wote SA kana kwamba viberiti wamekwamia humo...yaani SA mnaiona kama Mungu aisee
 
Hapa ni wivu tuu, mwambie ndugu yako akienda south Africa harudi Kenya tena. Nani aje kula githeri [emoji23]
mwache hii utumwa wa kiakili...jinsi mnavoabudu SA ina huzunisha sana
 
LIST OF COUNTRIES VISA NOT REQUIRED KENYA VS TANZANIA

For Kenya
VISA NOT REQUIRED FOR 36 COUNTRIES

1) Antigua and Barbuda
2) Bahamas
3) Barbados
4) Botswana
5) Burundi
6) Hong Kong
7) Dominica
8) Eritrea
9) Ethiopia
10) Fiji
11) Gambia
12) Ghana
13) Grenada
14) Haiti
15) Indonesia
16) Jamaica
17) Kiribati
18) Lesotho
19) Malawi
20) Malaysia
21) Mauritius
22) Micronesia
23) Namibia
24) Panama
25) Philippines
26) Saint Kitts and Nevis
27) Saint Vincent and the Grenadines
28) Senegal
29) Singapore
30) Swaziland
31) Tanzania
32) Trinidad and Tobago
33) Uganda
34) Vanuatu
35) Zambia
36) Zimbabwe

WHILE FOR TANZANIA VISA NOT REQUIRED FOR 38 COUNTRIES
  1. Botswana – No Visa required for a maximum of 90 days.
  2. Burundi – No Visa required for a maximum of 30 days.
  3. Gambia – No Visa required for a maximum of 90 days.
  4. Guinea – No Visa required
  5. Kenya – No Visa required for a maximum of 3 months.
  6. Lesotho – No Visa required for 90 days.
  7. Mauritius – No Visa required for a maximum of 3 months.
  8. Mozambique – No Visa required.
  9. Namibia – No Visa required for maximum stay of 3 months.
  10. Rwanda – No visa required for a maximum of 90 days.
  11. South Africa – No Visa required for a maximum of 90 days.
  12. Swaziland – No visa required for a stay of 30 days.
  13. Uganda – No Visa required for 3 months.
  14. Zambia – No Visa required for a maximum of 90 days for a tourist and 30 days for business travelers.
  15. Zimbabwe – No Visa required for a stay less than 3 months.
  16. Antigua & Barbuda – No Visa required.
  17. Bahamas – No Visa required for maximum 3 months.
  18. Barbados – No Visa required for a mazimum stay of 6 months.
  19. Belize – No Visa required.
  20. British Virgin Islands – No Visa required for maximum of 30 days.
  21. Cayman Islands – No Visa required for tourist, for a stay of 60 days and for Business travelers for 10 days.
  22. Dominica – No Visa required for maximum 6 months.
  23. Ecuador – No Visa required for 90 days.
  24. Grenada – No Visa required for maximum of 3 months.
  25. Haiti – No Visa required for maximum of 3 months.
  26. Jamaica – No Visa required.
  27. Montserrat – No Visa for 6 months required.
  28. Saint Lucia – No visa required for 6 weeks maximum stay.
  29. Bangladesh – No Visa required for 90 days maximum stay.
  30. Hong Kong – No Visa required for 90 days maximum stay.
  31. Indonesia – No Visa required.
  32. Macau – No Visa required for maximum 90 days.
  33. Malaysia – No Visa required for 90 days maximum stay.
  34. Philippines – No Visa required for a maximum stay of 30 days
  35. Singapore – No Visa required for a stay less than 30 days.
  36. Cook Islands – No Visa required for maximum 6 months.
  37. Federated states of Micronesia – No Visa required for 30 days or less of a stay.
  38. Wallis and Fatuna – No Visa required for a stay less than 30 days.
CC:
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11 , YoungD, COLLOH-MZII RELOADE, REDEEMER, Nairoberry, Bottas
 
Maneno ya mkosaji hayo, Haya kalime yale mashamba ya wazungu Nakuru upate hela ya kula.
nawe katafte albino umpeleke kwa daktari wa loliondo mmchinje kisha mle...
 
Kaka Tanzania tunaingia SA kama tunavyoingia Kenya, hatuhitajiki Visa kwenda SA. Kenya waliwasaliti SA katika enzi za ukombozi, Kenya iliwasaidia sana wazungu kuwatawala watu weusi, ndio sababu SA haitaki kusikia kuhusu Kenya kwa sasa.
Nimekupata mkuu wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…