South Africa to relax visa rule for Kenyans

South Africa to relax visa rule for Kenyans

Wachawi utawajuwa tuu, umeshaanza kuleta imani zako za kichawi.
😀😀😀ni nani asiyejua kuwa bongolala mnapenda kuwawinda albino wa Mola na kuwachinja kama kuku?
 
Acha kupiga fix watu, mimi nakwenda South Africa mara kwa mara siombi viza ubalozini napewa entry Airport.

Unapokuwa muongo ni vizuri uwe na kumbukumbu.
Hujui nafanya nini SA unaanza kudai napiga fix! Anyways, call it a permit! I have a permit and I got it within a week after applying.
 
😀😀😀ni nani asiyejua kuwa bongolala mnapenda kuwawinda albino wa Mola na kuwachinja kama kuku?
Ni wewe ndio umeleta haya mauchwai hapa, lazima utakuwa unayajuwa. Naona unaanza kutangaza biashara hapa. Ain't my thing.
 
Hahahahahahahahahahahahahaha, leo hii baada ya kuona wazungu wameondoka Africa baada ya kushindwa vita, ndio Kenya inakumbuka Pan-Africanism?, wakati wazungu wananyanyasa na kuwaua waafrika kama wadudu ndio kipindi Pan-Africanism ilikua muhimu zaidi kulika sasa.

Mama....... Hata zile nchi zilizowasaliti wakati wa kupigania uhuru ziko hapa mama.

Jambo la kishanga ni kwamba, nchi hizo hizo ndizo zinazodai kwamba zinathamini Pan - Africanism, zaidi kuliko hata sisi tuliomwaga damu

Mama, hukutuambia tuwafanye nini, "We are waiting for your signal".
Hata Mimi nimeshangaa labda Maana ya PAN AFRICANISM imebadilika
 
Hivi sababu ilikuwa ni nini hadi wakenya kupata visa za SA ikawa ngumu kuliko hata za ulaya na marekani?

Nina rafiki yangu ameapply sasa ni miezi miwili hajapata!! Wakati wabongo tunaapply ndani ya wiki unabeba visa yako.
Wanaogopa mtapeleka ugonjwa wenu wa ukabila kule
 
Back
Top Bottom