Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Wachawi utawajuwa tuu, umeshaanza kuleta imani zako za kichawi.nawe katafte albino umpeleke kwa daktari wa loliondo mmchinje kisha mle...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachawi utawajuwa tuu, umeshaanza kuleta imani zako za kichawi.nawe katafte albino umpeleke kwa daktari wa loliondo mmchinje kisha mle...
😀😀😀ni nani asiyejua kuwa bongolala mnapenda kuwawinda albino wa Mola na kuwachinja kama kuku?Wachawi utawajuwa tuu, umeshaanza kuleta imani zako za kichawi.
Hujui nafanya nini SA unaanza kudai napiga fix! Anyways, call it a permit! I have a permit and I got it within a week after applying.Acha kupiga fix watu, mimi nakwenda South Africa mara kwa mara siombi viza ubalozini napewa entry Airport.
Unapokuwa muongo ni vizuri uwe na kumbukumbu.
Permit ya nini na umeapply wapi?Hujui nafanya nini SA unaanza kudai napiga fix! Anyways, call it a permit! I have a permit and I got it within a week after applying.
Permit ya ninachokifanya na niliapply ubalozi wa SA DarPermit ya nini na umeapply wapi?
Huu ndio ubabaishaji wenyewe sema permit ya nini?Permit ya ninachokifanya na niliapply ubalozi wa SA Dar
Ni wewe ndio umeleta haya mauchwai hapa, lazima utakuwa unayajuwa. Naona unaanza kutangaza biashara hapa. Ain't my thing.😀😀😀ni nani asiyejua kuwa bongolala mnapenda kuwawinda albino wa Mola na kuwachinja kama kuku?
Ninachokifanya hakikuhusu, hivyo sitakwambia!Huu ndio ubabaishaji wenyewe sema permit ya nini?
By the way topic ni viza na siyo permit, unachanganya madesa.
Blah blah bin porojo dot com.Ninachokifanya hakikuhusu, hivyo sitakwambia!
😀😀😀😀huna hojaNi wewe ndio umeleta haya mauchwai hapa, lazima utakuwa unayajuwa. Naona unaanza kutangaza biashara hapa. Ain't my thing.
Hata Mimi nimeshangaa labda Maana ya PAN AFRICANISM imebadilikaHahahahahahahahahahahahahaha, leo hii baada ya kuona wazungu wameondoka Africa baada ya kushindwa vita, ndio Kenya inakumbuka Pan-Africanism?, wakati wazungu wananyanyasa na kuwaua waafrika kama wadudu ndio kipindi Pan-Africanism ilikua muhimu zaidi kulika sasa.
Mama....... Hata zile nchi zilizowasaliti wakati wa kupigania uhuru ziko hapa mama.
Jambo la kishanga ni kwamba, nchi hizo hizo ndizo zinazodai kwamba zinathamini Pan - Africanism, zaidi kuliko hata sisi tuliomwaga damu
Mama, hukutuambia tuwafanye nini, "We are waiting for your signal".
Wanaogopa mtapeleka ugonjwa wenu wa ukabila kuleHivi sababu ilikuwa ni nini hadi wakenya kupata visa za SA ikawa ngumu kuliko hata za ulaya na marekani?
Nina rafiki yangu ameapply sasa ni miezi miwili hajapata!! Wakati wabongo tunaapply ndani ya wiki unabeba visa yako.