Songambele JF-Expert Member Joined Nov 20, 2007 Posts 4,710 Reaction score 2,587 Jun 28, 2009 #41 Ndio mpira, na tukumbuke spain ndio timu bora duniani. Big up SA, next wanaweza fanya vizuri zaidi. Thanks kwa wachangiaji kutujalia matokeo manake TBC1 wametukata stimu wapenzi wa mpira kwa kuacha kuonyesha extra time wakati wengine tuko bush.
Ndio mpira, na tukumbuke spain ndio timu bora duniani. Big up SA, next wanaweza fanya vizuri zaidi. Thanks kwa wachangiaji kutujalia matokeo manake TBC1 wametukata stimu wapenzi wa mpira kwa kuacha kuonyesha extra time wakati wengine tuko bush.