South Africa vs Spain June 28 '09

South Africa vs Spain June 28 '09

Ndio mpira, na tukumbuke spain ndio timu bora duniani. Big up SA, next wanaweza fanya vizuri zaidi.

Thanks kwa wachangiaji kutujalia matokeo manake TBC1 wametukata stimu wapenzi wa mpira kwa kuacha kuonyesha extra time wakati wengine tuko bush.
 
Back
Top Bottom