South African Airways 'is on verge of bankruptcy'

Hapa naomba kukinzana na wewe kuhusu hilo hoja yako kuhusiana na KQ.
Either ni kudanganya ama ni kutojua, lakini najua ni kupotosha watu humu kama ilivyo ari yako ya kuponda chochote kuhusu Kenya.

KQ inahudumia wateja wenye hadhi sawa kama Ethiopia Airline, they cater for the same market needs. KQ hata imepiga hatua ya kuanzisha huduma za ndege kwa wale wenye hadhi ya chini...the budget airline iitwayo Jambo Jet.

Kenya haikuwa inafanya ushindani, bali hali demand ilikuwa nzuri sana kiasi cha kwamba kwa mwaka ikikuwa ikiwasafirisha mamilioni ya wateja. Mwaka jana pekee si ilibainika ya kwamba KQ ilipata wateja 4milioni?
Hizo projects umetaja hapo kama projects mawingu yalikuwa ni lazma kutokana na the positive projections iliokuwa regarding the future growth of the industry, esp in the region.

ET is well established and with a good reputation, is KQ.
Na Rwandaair na Uganda airline zimekuwa na impact gani kwa KQ? Fastjet pia ilingia kwenye soko hili, but where is Fastjet? Where is Uganda Airline? Is Rwandair as dominant as KQ leave alone in the continent, but the region? No.

We wish u well with your ATCL, but it wont be easy, I warn u

Shinda zilizoikumba KQ hazikutokana na upinzani ya hizo mashirika zingine, bali hizo hizo changamoto ambazo zimeikumba SAA; usimamizi mbaya hasa na misukosuko ndani ya Kenya kutokana na visa kadhaa vya kigaidi, kuwafanya hasa
Ni mwaka wa ngapi KQ inapata hasara na matatizo yalianza lini? Na kwann iliuza na kukodisha ndege zake? Kama abiria wa kutosha? Na kwann route ya Kampala-Nairobi ilikuwa ngumu KCAA kuiruhusu Rwandair kuanza kuhudumia? Ukijibu hayo utafutaji ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa naomba kukinzana na wewe kuhusu hilo hoja yako kuhusiana na KQ.
Either ni kudanganya ama ni kutojua, lakini najua ni kupotosha watu humu kama ilivyo ari yako ya kuponda chochote kuhusu Kenya.

KQ inahudumia wateja wenye hadhi sawa kama Ethiopia Airline, they cater for the same market needs. KQ hata imepiga hatua ya kuanzisha huduma za ndege kwa wale wenye hadhi ya chini...the budget airline iitwayo Jambo Jet.

Kenya haikuwa inafanya ushindani, bali hali demand ilikuwa nzuri sana kiasi cha kwamba kwa mwaka ikikuwa ikiwasafirisha mamilioni ya wateja. Mwaka jana pekee si ilibainika ya kwamba KQ ilipata wateja 4milioni?
Hizo projects umetaja hapo kama projects mawingu yalikuwa ni lazma kutokana na the positive projections iliokuwa regarding the future growth of the industry, esp in the region.

ET is well established and with a good reputation, but so is KQ!

Na Rwandaair na Uganda airline zimekuwa na impact gani kwa KQ? Fastjet pia ilingia kwenye soko hili, but where is Fastjet now? Where is Uganda Airline? Is Rwandair as dominant as KQ leave alone in the continent, but in the region? No.

We wish u well with your ATCL, but it wont be easy, I warn u

Shinda zilizoikumba KQ hazikutokana na upinzani ya hizo mashirika zingine, bali hizo hizo changamoto ambazo zimeikumba SAA; usimamizi mbaya hasa na misukosuko ndani ya Kenya kutokana na visa kadhaa vya kigaidi, kuwafanya hasa
Unakuja mpumbavu kufananisha KQ na SAA! KQ haijapata hata nusu ya ukubwa wa SAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mwaka wa ngapi KQ inapata hasara na matatizo yalianza lini? Na kwann iliuza na kukodisha ndege zake? Kama abiria wa kutosha? Na kwann route ya Kampala-Nairobi ilikuwa ngumu KCAA kuiruhusu Rwandair kuanza kuhudumia? Ukijibu hayo utafutaji ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Miaka mingapi sasa? Since 2015, but what abou this year? Things are turning around.
 
Good.Nafasi kwa air Tanzania.The king is back
7a0cdb83a4dc8ccd4979979841563f1b.jpg

c7e563bc22f3ccfa2dd83c414d339d90.jpg

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hawa muda mrefu walikuwa under bail outs
 
South Africa pmj na uchumi wake uliyo imara lkn shirika linakaribia kufilisika

Sent using Jamii Forums mobile app
SA africa kwa sasa uchumi wake umeporomoka vibaya sana! Angalia tena utaona!

Hata hivyo, suala la aviation industry linaeleweka sio la kitoto, na tayari mfano tulishauona kwa shirika letu wenyewe kabla ya hayo mengine.
 
Sssa Bujumbura kuna biashara gani?CRDB wenyewe branch ya huko bujumbura wako choka mbovu.
Hawawezi kwenda bila research market analysis usichukulie vitu local kihivyo ile sio bodaboda
 
Precision air Ilipoanza route za kwenda mara lusaka,entebbe na nchi nyinginezo unadhani hawakufanya analysis..

Ujuaji mwingi mbele kiza.
 
Sasa Kwani soko likibadilika kutokana na some factors kinashindana kipi kuquit hiyo ndio business hawajawekewa superglue huko
 
Back
Top Bottom