Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Ni mwaka wa ngapi KQ inapata hasara na matatizo yalianza lini? Na kwann iliuza na kukodisha ndege zake? Kama abiria wa kutosha? Na kwann route ya Kampala-Nairobi ilikuwa ngumu KCAA kuiruhusu Rwandair kuanza kuhudumia? Ukijibu hayo utafutaji ukweli.Hapa naomba kukinzana na wewe kuhusu hilo hoja yako kuhusiana na KQ.
Either ni kudanganya ama ni kutojua, lakini najua ni kupotosha watu humu kama ilivyo ari yako ya kuponda chochote kuhusu Kenya.
KQ inahudumia wateja wenye hadhi sawa kama Ethiopia Airline, they cater for the same market needs. KQ hata imepiga hatua ya kuanzisha huduma za ndege kwa wale wenye hadhi ya chini...the budget airline iitwayo Jambo Jet.
Kenya haikuwa inafanya ushindani, bali hali demand ilikuwa nzuri sana kiasi cha kwamba kwa mwaka ikikuwa ikiwasafirisha mamilioni ya wateja. Mwaka jana pekee si ilibainika ya kwamba KQ ilipata wateja 4milioni?
Hizo projects umetaja hapo kama projects mawingu yalikuwa ni lazma kutokana na the positive projections iliokuwa regarding the future growth of the industry, esp in the region.
ET is well established and with a good reputation, is KQ.
Na Rwandaair na Uganda airline zimekuwa na impact gani kwa KQ? Fastjet pia ilingia kwenye soko hili, but where is Fastjet? Where is Uganda Airline? Is Rwandair as dominant as KQ leave alone in the continent, but the region? No.
We wish u well with your ATCL, but it wont be easy, I warn u
Shinda zilizoikumba KQ hazikutokana na upinzani ya hizo mashirika zingine, bali hizo hizo changamoto ambazo zimeikumba SAA; usimamizi mbaya hasa na misukosuko ndani ya Kenya kutokana na visa kadhaa vya kigaidi, kuwafanya hasa
Sent using Jamii Forums mobile app