South African Airways kuanza tena Safar za Dar-JHB

South African Airways kuanza tena Safar za Dar-JHB

SAA wanarejea kwa Kasi jijini Dar (JNIA) kuondoka 0510am kufika OR Tambo International airport 0755am. Bye bye KQ

Naona anakuja kugawana wateja na Airlink na pia ATCL (nimesikia nao wanarudisha tena flights za OT)

Halafu naona hadi muda zote zinabana alfajiri ya majogoo...
 
South African Airways (SAA) wanarejea Dar (JNIA) kuondoka Far-JNIA 0510am kufika OR Tambo International airport 0755am. Bye bye KQ
ATCL mbona wanaenda Johannesburg kila siku siku hizi.

Kwa kweli ilikua kwenda South kwa kutumia KQ ama AA ilikua ni mateso.

Sasa hivi ATCL wanayo straight OR.
 
Back
Top Bottom