M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
- Thread starter
-
- #21
Mateso gani jomba?ATCL mbona wanaenda Johannesburg kila siku siku hizi.
Kwa kweli ilikua kwenda South kwa kutumia KQ ama AA ilikua ni mateso.
Sasa hivi ATCL wanayo straight OR.
Pambana na KataramaWewe bwana nakwambia hivi ndege ya mwafrika service ni hovyo....hapo huniambii kitu
Na tilisho au kimbinyikoPambana na Katarama
Uhakika wa safari ukoje?ATCL ndio tamu zaidi.. Ndege Mpya ya Boeing 737-MAX 9
Kuondoka Dar: 11:00 am local
Kufika OR Tambo: 13:10 pm local
Mkuu ungeipanda kwanza ndio ukampinga hoja yake au kama umewahi ungetuelezea zaidiWewe bwana nakwambia hivi ndege ya mwafrika service ni hovyo....hapo huniambii kitu
KQ wanayumba sana huko angani utadhani wapo barabarani. Kiasi kwamba unaweza kuomba ushuke.KQ wana nafuu gani? Bora useme Malawian airlines
Obsessive compulsive disorder
Hawaendi kila sikuATCL mbona wanaenda Johannesburg kila siku siku hizi.
Kwa kweli ilikua kwenda South kwa kutumia KQ ama AA ilikua ni mateso.
Sasa hivi ATCL wanayo straight OR.
OR Tambo! Airlnk! Safar!South African Airways (SAA) wanarejea Dar (JNIA) kuondoka Dar*JNIA 0510am kufika OR Tambo International Airport 0755am. Bye bye KQ na Airlnk
FiksiSo far ATC wameweza kwenye luggage allowance 69kgs
Niamini mimi navyokwambia airline yoyote ile inayoendeahwa na mwafrika hamna kitu. Na usidhani kisa mie bodaboda sijawahi panda ndege...🤣🤣🤣🤣Mkuu ungeipanda kwanza ndio ukampinga hoja yake au kama umewahi ungetuelezea zaidi
Sio ishu, tutafanya adjustment yasafari kulingana na ratibazao, tumechoka kuzunguka angani kama mwewe.Hawaendi kila siku
Uhakika wa safari ukoje?
Mara nyingi hua kuondoka ni sa 9 ana 10 alfajiri, ufike Kenya ushuke, ufanyiwe security check, check in na usumbufu kama huo, baadae mkae hata masaa 4 ndio muondoke, Johannesburg mnafika sa 10 ama 11 jioni. The same na AA.Mateso gani jomba?
Hii route inalipa sana, japo kwa sababu zisizoeleweka tuliwaachia SA na sasa Airlink hivyo inabidi sasa tuanze kugombania abiria. Watu wetu wa marketing wanatakiwa waje na strategies (4p) zinazoendana na soko letu na sio kutegemea kukopy na kupaste.ATCL ndio tamu zaidi.. Ndege Mpya ya Boeing 737-MAX 9
Kuondoka Dar: 11:00 am local
Kufika OR Tambo: 13:10 pm local
Acha uongo. KQ unaondoka saa 9 usiku (kuna wakati mnapita Zanzibar then Nairobi unaweza ku-connect Nairobi saa 1 au saa 2 na ukafika Johannesburg saa 3 au saa 4 asubuhi.Mara nyingi hua kuondoka ni sa 9 ana 10 alfajiri, ufike Kenya ushuke, ufanyiwe security check, check in na usumbufu kama huo, baadae mkae hata masaa 4 ndio muondoke, Johannesburg mnafika sa 10 ama 11 jioni. The same na AA.
ATCL ni moja kwa moja na inaondoka sa 5 mnafika sa 7 ya kule.
Kwa sasa kwenda South Africa ni rahisi na starehe sana kwa ATCL.
AirTanzania wana nafuuKQ wana nafuu gani? Bora useme Malawian airlines
International wanajitahidi sijawah pata shidaUhakika wa safari ukoje?