Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kwani enzi za Yesu si kulikuwa na watu walikuwa wanahangaika na maradhi kwa kutafuta dawa mbalimbali lakini kumbe na imani walikuwa nayo pia na ndiyo maana wakawa wanaponywa na Yesu?kwa sababu wanahangaika na chanjo mpaka kufungia wengine.
imani ni kuwa na uhakika wa yatarajiwayo,kama mjuba stone himself.