Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Jan 22, 2021 #21 mkorinto said: kwa sababu wanahangaika na chanjo mpaka kufungia wengine. imani ni kuwa na uhakika wa yatarajiwayo,kama mjuba stone himself. Click to expand... Kwani enzi za Yesu si kulikuwa na watu walikuwa wanahangaika na maradhi kwa kutafuta dawa mbalimbali lakini kumbe na imani walikuwa nayo pia na ndiyo maana wakawa wanaponywa na Yesu?
mkorinto said: kwa sababu wanahangaika na chanjo mpaka kufungia wengine. imani ni kuwa na uhakika wa yatarajiwayo,kama mjuba stone himself. Click to expand... Kwani enzi za Yesu si kulikuwa na watu walikuwa wanahangaika na maradhi kwa kutafuta dawa mbalimbali lakini kumbe na imani walikuwa nayo pia na ndiyo maana wakawa wanaponywa na Yesu?
UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 16,543 Reaction score 7,880 Jan 22, 2021 #22 Salary Slip said: Huu ugonjwa ni balaa, ila Tanzania tumeushinda kwa maombi kwasababu sisi ni special sana kwa Mwenyezi Mungu!!!!!! Click to expand... Kwani ili ukubaliwe maombi ni lazima uwe special?mbona maandiko yanatuambia tuombe na tutajibiwa hayasemi watu maalumu ndio watajibiwa.
Salary Slip said: Huu ugonjwa ni balaa, ila Tanzania tumeushinda kwa maombi kwasababu sisi ni special sana kwa Mwenyezi Mungu!!!!!! Click to expand... Kwani ili ukubaliwe maombi ni lazima uwe special?mbona maandiko yanatuambia tuombe na tutajibiwa hayasemi watu maalumu ndio watajibiwa.