NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Inaonekana ulikuwa unauza pipi kule ukabumburushwa.Hongera zao pumbavu zao, waache xenophobia.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Walimu wengi wanaofunza Kiswahili humu duniani ni Wakenya. Kiswahili chenyewe kilianzia Kenya. Lala pema peponi Prof. Ali Mazrui.
Hahahahaha.Wakenya wanafundisha Kiswahili kule China na Japan, fursa ndio hii imejitokeza AK.
Walimu wengi wanaofunza Kiswahili humu duniani ni Wakenya. Kiswahili chenyewe kilianzia Kenya. Lala pema peponi Prof. Ali Mazrui.
Wakenya wa huko China na Japan wanachapia tu wala hawajuwi kiswahili chochote, wao wenyewe wanakimbikia mitandaoni kujifunza kiswahili.Wakenya wanafundisha Kiswahili kule China na Japan, fursa ndio hii imejitokeza AK.
Eti kiswahili kilianzia kenya, huu upumbavu hamtapona. Leta evidence ya haya usemayo.Walimu wengi wanaofunza Kiswahili humu duniani ni Wakenya. Kiswahili chenyewe kilianzia Kenya. Lala pema peponi Prof. Ali Mazrui.
HII NI COMEDY AU?!!? YAANI WATU AMBAO HAWAJUI KUANDIKA,KUSOMA WALA KUONGEA KISWAHILI NDIYO WANASEMA ETI HII LUGHA ILIANZIA KWAO hahahahaha,!Walimu wengi wanaofunza Kiswahili humu duniani ni Wakenya. Kiswahili chenyewe kilianzia Kenya. Lala pema peponi Prof. Ali Mazrui.
Hata hao wa SA wanajuwa kiswahili fasaha kinaonglewa wapi, maana wazee wao wa ukombozi wamejifunza kiswahili hapa hapa Tanzania.Watu wanaoongea kiswahili fasaha duniani ni watanzania,kwaiyo natumaini walimu wengi watz wataenda kufundisha South africa.
English is an important language globally. It is currently the most important language in the world. At any cost, learn it.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Si mnasemaga Kingereza ndio Kila kitu? What happened,
Kwa namna hii naanza kumwelewa yule mchina..
Naamini hakukurupuka aisee, Lazima kuna utafiti aliufanya Akaona nyie na Monkeys you have some cognitive similarities.
Walimu wengi wanaofunza Kiswahili humu duniani ni Wakenya. Kiswahili chenyewe kilianzia Kenya. Lala pema peponi Prof. Ali Mazrui.
I am Very proud to my Nation Tanzania,
We are here to support South Africans on their Move,
We will provide Teachers, Syllabus, Manuals and everything you need,
Among others, language is is a key contributor to Uniting people.
Wakenya mkumbuke hii tender itaenda SADC halafu mnahiitaji VISA kuingia SA.
That will be a disaster if the world is taught Kiswahili slang from Kenya. I have not met a Kenyan who can sustain at least two sentences without mixing with English. And poorly pronounced English at that.Wacha jokes.
It goes without saying that 99% of the teachers will come from Kenya.
Kenyans are industrious, and most importantly, they can speak English.
You can only teach someone a foreign language if you can first of all speak their language.
Not funny. Opportunity grabbers.Hahahaha,
Huwa nafurahia sana wakenya mnavyopenda kujisogeza kila penye mafanikio,
Huwa kutwa mnaponda Kiswahili, na mnaonaga mtu Kuongea Kiswahili ni ishara ya Illiteracy,
Sasa hapa naona tayari mnajisogeza,
You guys are so funy,