South African schools to teach Swahili in a bid to unite Africans

That will be a disaster if the world is taught Kiswahili slang from Kenya. I have not met a Kenyan who can sustain at least two sentences without mixing with English. And poorly pronounced English at that.

Kenyans can speak perfect Kiswahili. In schools only pure Kiswahili is taught and spoken.
We only choose to mix with English because it's 'cool'.
 
Ahaaa haaa haaa
you guys are yapping without noticing that RSA knows where is the head quarters of kiswahili.
 
ah kumbe ujinga wa kupimana mikojo kenya vs tz...ile habari ni very straighforward...haina haja ya kuingiza mambo ya battle za kijinga
but hapa battle haiepukiki. itakapo fika wakati wa kuhitaji walimu, lazima kutakuwa na ushindani wa walimu toka kenya na tanzania.

ila nina hakika walimu toka tz wataibuka washindi ukichukulia kwamba mahusiano ya TZ na SA ni ya damu.walimu toka kenya watabaki kutoa macho tu, unyang'au na ujuaji wenu hapa hautapata nafasi. watch this space.
 
hii ndio inaitwa upuuzi...kwanza wangewachukua walimu toka tz tu asilimia 100...nobody cares abt that..kenya huwa hatuiabudu SA kama mnavyoiabudu
 
That will be a disaster if the world is taught Kiswahili slang from Kenya. I have not met a Kenyan who can sustain at least two sentences without mixing with English. And poorly pronounced English at that.
Are you aware that most Tanzanians are good at spoken Swahili but written ni zero. Ushaidi tosha ni hapa, wengi wenyu hata hamjui wakati wa kutumia 'L' na 'R'.
 
mbona hasira?... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hamna hasira hata kidgo...nashangaa tu ni kwanini watz huwa mnaiabudu SA hivi...SA tumewaachia, walimu wetu watafunza kwingine...tayari ndio wanaongoza duniani kule UK, US, CHina etc
 
hamna hasira hata kidgo...nashangaa tu ni kwanini watz huwa mnaiabudu SA hivi...SA tumewaachia, walimu wetu watafunza kwingine...tayari ndio wanaongoza duniani kule UK, US, CHina etc
hii ni statement ya wivu.
tafuta articles zinazozungumzia historia ya chanzo cha mahusiano kati TZ na SA.

nina hakika utapata taarifa sahihi kuhusu nani alimfata mwenzie kuomba msaada wakati huo SA ikiwa katika vuguvugu la ubaguzi wa rangi.
 
Acha kabisa.. Tanzania si mchezo, Kiswahili tulianza kukipenyeza Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji na sasa South Africa.
 
hamna hasira hata kidgo...nashangaa tu ni kwanini watz huwa mnaiabudu SA hivi...SA tumewaachia, walimu wetu watafunza kwingine...tayari ndio wanaongoza duniani kule UK, US, CHina etc
Already as of now we've supplied so much teachers in southern Sudan, Somalia and Rwanda to some extent and we do not yap in here. South Sudan education curriculum is almost a carbon copy of ours.
 
Are you aware that most Tanzanians are good at spoken Swahili but written ni zero. Ushaidi tosha ni hapa, wengi wenyu hata hamjui wakati wa kutumia 'L' na 'R'.

Ahaaa haaa haaa
lkn hawa hapa si walimu wa kiswahili. walimu wa kiswahili wenyewe hawakosei.
Teh teh teh tihiii
 
Ahaaa haaa haaa
lkn hawa hapa si walimu wa kiswahili. walimu wa kiswahili wenyewe hawakosei.
Teh teh teh tihiii
Vile vile nami ninakujuza ya kuwa, hata wengi wetu humu sio walimu. Wenyewe wako nyuma, tena magwiji walio tukuka na kubobea kwenye hii lugha ya kiswahili.
 
hii ni statement ya wivu.
tafuta articles zinazozungumzia historia ya chanzo cha mahusiano kati TZ na SA.

nina hakika utapata taarifa sahihi kuhusu nani alimfata mwenzie kuomba msaada wakati huo SA ikiwa katika vuguvugu la ubaguzi wa rangi.
wivu juu ya uhusiano😵😵😱😱..nowonder huwa watz hamna confidence kabisa na wala hamjiamini..hampo aggressive...kenya huwa haitambui nchi yoyote...we respect SA but we can never lick their asses like you ppl do...
 
Already as of now we've supplied so much teachers in southern Sudan, Somalia and Rwanda to some extent and we do not yap in here. South Sudan education curriculum is almost a carbon copy of ours.
true...my cousin works in S. Sudan and he told me kenyans practically run that country from business to ducation etc
 
kenya huwa haitambui nchi yoyote...we respect SA but we can never lick their asses like you ppl do...

hasira hasara... [emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123]

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…