joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
But you are very happy licking White's asses daily, you refused to participate during the time of liberation of African countries because you were afraid of your slave masters, today you here talking about South Africa.wivu juu ya uhusiano😵😵😱😱..nowonder huwa watz hamna confidence kabisa na wala hamjiamini..hampo aggressive...kenya huwa haitambui nchi yoyote...we respect SA but we can never lick their asses like you ppl do...
Umesahau kabla huyo Director mganda aliyekuepo alikua Tido Mhando ambaye mtanzania.Acheni maneno mengi hamjui wala hamkipendi Kiswahili, ni kawaida yenu kupenda kujisogeza karibu na mafanikio.Sidhani kama mtaweza kuwapa Waalimu wazuri wa kufundisha Kiswahili kwa sababu 95% ya waalimu wa Kitanzania wahajui Kiingereza ambayo ndiyo lugha ya kufundishia!!Waalimu wazuri watatoka Rwanda, Uganda, Kenya since they are fluent in English both spoken and written. Mfano mzuri angalia Mkuu wa Kitengo cha Idhaa ya Kiswahili BBC ni Mganda I mean the Director!!!!! If you are not conversant in any particular language which is to be used as a media of instruction(remember South Africans are good English language speakers) you can never ever make a good lecturer/teach in Kiswahili! I stand to be corrected. Wapo wengi wana PhD ambayo waliisomea kwa Kiingereza lakini kuzungumza bila grammatical error and not being fluent is a big problem!
Hilo ni wewe ndio walijua. Lile najua mimi ni kwamba kuna wakenya wazuri tuu kwa kiswahili. Kwanza wale wa Mombasa wanawazidi kwa kiswahili ten fold.ingekua wewe ndo mtz ungeweza vumilia kusikiliza Swahili from Kenya without laughing?
Labda MK254 ndio huwa namuelewa. Ana kiswahili cha Kibongo. Hao Wakenya wengine mpaka nitumie binocularHilo ni wewe ndio walijua. Lile najua mimi ni kwamba kuna wakenya wazuri tuu kwa kiswahili. Kwanza wale wa Mombasa wanawazidi kwa kiswahili ten fold.
What he said is true, usijifanye lonejust see ur empty brain..smh
Umesahau kabla huyo Director mganda aliyekuepo alikua Tido Mhando ambaye mtanzania.Acheni maneno mengi hamjui wala hamkipendi Kiswahili, ni kawaida yenu kupenda kujisogeza karibu na mafanikio.
Wewe ni mjinga sana, sisi hatukithamini kabisa kiingereza, ngoja nikuambie ukweli, Kenya mnavyokithamini na kukiheshimu kiingereza, ndivyo Tanzania tunavyo kiheshimu na kukithamini Kishwahili, mnavyokipuuza na kukidharau Kiswahili, ndivyo tunavyokipuuza kiingereza huku kwetu.Nimesema 95% hawajui, they are not fluent in written and spoken English and Tido is one of the 5%! Remember we have them but very few! Just say the truth and ashame the devil, mficha ficha maradhi kilio kitamfika. Angalia mtoto wa Prof Magembe ambaye alisome Africa Kusini na kuwa Mwalimu huko huko Africa Kusini alivyofanya vizuri wakati alipokuwa anatafuta ubunge wa Afrika Mashariki, He was fluent in English! Siyo kile kiingereza unafikiri kwa Kiswahili na kutafsiri kwa Kiingereza(you think in Kiswahili and thereafter translate into English simultaneously). For your information angalia kundi la waliosoma wakati wa Kikwete(retired President) Mkapa, Msuya Cleopa, A Mahiga, shule za serikali wanajua vizuri lugha hiyo, wa baada ya 1972 ni tatizo apart from special private schools/academies or waliosoma(wanasoma) nje ya Tz kama Kenya Uganda, USA (kama J Makamba - very smart), UK etc.
Kila mtu ako na maoni yake!. Yangu ni yale yale, na hivyo sina budi kukubali ya kwako pia. Kikwetu huwa tunasema: kila mtu afuate aliyojifunza na kusomea.Labda MK254 ndio huwa namuelewa. Ana kiswahili cha Kibongo. Hao Wakenya wengine mpaka nitumie binocular
Wewe ni mjinga sana, sisi hatukithamini kabisa kiingereza, ngoja nikuambie ukweli, Kenya mnavyokithamini na kukiheshimu kiingereza, ndivyo Tanzania tunavyo kiheshimu na kukithamini Kishwahili, mnavyokipuuza na kukidharau Kiswahili, ndivyo tunavyokipuuza kiingereza huku kwetu.
Ninyi bado hamjapata Uhuru kamili, dunia nzima inalijua hilo, ninyi mlipata uhuru wa bendera pekee, lakini uchumi, fikra na utamaduni bado mnatawaliwa na wazungu, hata huku Tanzania bado wapo wachache ambao bado wanakiheshimu na kukithamini kiingereza kama ninyi huko Kenyat