South Korea inazalisha chuma kingi kuliko Afrika ya watu bilioni 1.5!!

Ongezea kwamba, Korea Kusini ni mshirika wa Marekani. Tunaambiwa kwamba, ukishirikiana na mabeberu unaanguka kiuchumi. Swali, imekuwaje Korea Kusini kufanikiwa kiuchumi licha ya kushirikiana na beberu Marekani kwa miaka mingi?
Huwezi kufeli ukishirikiana na mtu anachapisha pesa ya dunia.
 
Hii ni ukweli kabisa. Juzi nimekutana na article inayosema: "China produces roughly 2.5 to 3 million tonnes of steel every 36 hours, which exceeds the United Kingdom's entire annual steel production of around 4 million tonnes".

Kila kitu kinahitaji steel. Ili kuzalisha kwa wingi, unahitaji umeme wa uhakika na wa gharama nafuu. Wakati Germany inaachana na nuclear energy, China inazidi kujenga more nuclear reactors. See the correlation?

Meanwhile, South Africa ndo nchi pekee inayozalisha nuclear energy Africa.
 
Shida sio idadi ya watu shida ni akili!
Ndio maana naunga mkono upunguzaji idadi ya watu Afrika. Idadi ya watu haipo proportional na productivity/creatvity. Ni bora tupunguze watu wasio na tija ambao kimsingi ndio wamejaa bara la giza.
 
Ndio maana naunga mkono upunguzaji idadi ya watu Afrika. Idadi ya watu haipo proportional na productivity/creatvity. Ni bora tupunguze watu wasio na tija ndio wamejaa bara la giza.
Unawapunguzaje wasio na tija mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…