South Sudan kuna fursa gani?

South Sudan kuna fursa gani?

Chakula,nafaka

Nilibahatika kwenda huko sema unatakiwa uwe

Bandidu,pesa $ ipo sema usalama mdogo

Ova
 
Nadhani fursa zitakuwepo nyingi changamoto itakuwa kwenye usalama.
 
Kazi ya TISS ilitakiwa kusaka fursa za uchumi nje ya nchi Ili watz watumie fursa hizo Ili kupunguza idadi ya machinga na bodaboda nchini na sio kuisaidia ccm kuiba kura
Kabisa.
 
Back
Top Bottom