Southampton imekua kama kituo cha Soka cha Liverpool.

Southampton imekua kama kituo cha Soka cha Liverpool.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Screenshot_2017-12-28-09-09-02-1.png
 
sio liver tu wachezaji wengi wametoka kwenye accademy ya soton mfano
Bale
Walcoth
Chamberlain
Chambers
Ila naona mr Liva kazidi na tena yeye anachukua chakula kikiwa tiyari kipo mezani.
 
kuna mwaka waliuza timu nzima kasoro schneirdalin
 
kuna mwaka waliuza timu nzima kasoro schneirdalin
Man utd wakaja wakapita naye na sasa yupo Everton na kule ile beki inaitwa Martina kama sikosei yupo Everton jamaa anakaba mpaka kivuli yule naye alitoka Soton.

Wamekubali kutumika na timu kubwa.
 
Co
Coco martina , na idrissa cana gueyye hawa jamaa nawakubali
Majembe wanajua wajibu wao kuna game Gueyye aliumia kama sikosei ile na Chelsea kati palipwaya sana.

Sirguson alikua mtamu kipindi akiwa Swansea ila naona bado anatafuta rythm yake pale everton bado hajaonesha makali yake.
 
Hi
Ila naona mr Liva kazidi na tena yeye anachukua chakula kikiwa tiyari kipo mezani.
Wanaogopa risk ya kuchukua mchezaji ambaye his ability not already proven , man u walimkataa bale kutoka saints kwa ajili , saints walitaka pesa nyingi
 
Hi
Wanaogopa risk ya kuchukua mchezaji ambaye his ability not already proven , man u walimkataa bale kutoka saints kwa ajili , saints walitaka pesa nyingi
Angeenda hata timu nyingine basi karibia First Eleven yote ya Liverpool inatoka pale Soton.
 
Kuna makala Moja nimeona gazeti la Mwanaspoti kama sikosei la jana linazungumzia hili jambo Liva kumfanya Soton kichaka chake.
 
Majembe wanajua wajibu wao kuna game Gueyye aliumia kama sikosei ile na Chelsea kati palipwaya sana.

Sirguson alikua mtamu kipindi akiwa Swansea ila naona bado anatafuta rythm yake pale everton bado hajaonesha makali yake.
Sirguson umri na nguvu zinamtupa , tofees kulipa pesa nyingi kwa ajili yake walichemka, bora sasahivi dogo oumar niasse anapangwa koeman alikuwa ananikela kutompanga
 
Sirguson umri na nguvu zinamtupa , tofees kulipa pesa nyingi kwa ajili yake walichemka, bora sasahivi dogo oumar niasse anapangwa koeman alikuwa ananikela kutompanga
Ila Niasse naona kama ana uzito flani ila nguvu anazo Big Sam kaja na mabadiliko na kaikuta timu ina michezo migumu kweli ila nahisi hicho kikombe atakivuka salama,Koeman angekuwepo mpaka leo timu ingekua kule kwa kina Swansea.
 
Back
Top Bottom