The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Ok , hila saints wamejitahidi kumentain , zamani walikuwa wanashuka na kupanda daraja wao na jamaa zao wa south coast ( portmouth) , nafikiri liver wanaogopa hasara kuchukua mchezaji mgeni kabisa wa ligi wa pesa kubwa , hii issue iliwapataga liver kwa sean dundeeKuna makala Moja nimeona gazeti la Mwanaspoti kama sikosei la jana linazungumzia hili jambo Liva kumfanya Soton kichaka chake.