anafaidi kuliko wenzieIla naona mr Liva kazidi na tena yeye anachukua chakula kikiwa tiyari kipo mezani.
Kingine saints wana best scouting all over the world , kwa hiyo wakimpoint mchezaji anakua mzuri , eg wanyama , virgil. Mane etcsio liver tu wachezaji wengi wametoka kwenye accademy ya soton mfano
Bale
Walcoth
Chamberlain
Chambers
Man utd wakaja wakapita naye na sasa yupo Everton na kule ile beki inaitwa Martina kama sikosei yupo Everton jamaa anakaba mpaka kivuli yule naye alitoka Soton.kuna mwaka waliuza timu nzima kasoro schneirdalin
Coco martina , na idrissa cana gueyye hawa jamaa nawakubaliMan utd wakaja wakapita naye na sasa yupo Everton na kule ile beki inaitwa Martina kama sikosei yupo Everton jamaa anakaba mpaka kivuli yule naye alitoka Soton.
Wamekubali kutumika na timu kubwa.
Sidhani uwa wanauza na kununuaHawa Southampton watashuka daraja
Majembe wanajua wajibu wao kuna game Gueyye aliumia kama sikosei ile na Chelsea kati palipwaya sana.Co
Coco martina , na idrissa cana gueyye hawa jamaa nawakubali
Wanaogopa risk ya kuchukua mchezaji ambaye his ability not already proven , man u walimkataa bale kutoka saints kwa ajili , saints walitaka pesa nyingiIla naona mr Liva kazidi na tena yeye anachukua chakula kikiwa tiyari kipo mezani.
Angeenda hata timu nyingine basi karibia First Eleven yote ya Liverpool inatoka pale Soton.Hi
Wanaogopa risk ya kuchukua mchezaji ambaye his ability not already proven , man u walimkataa bale kutoka saints kwa ajili , saints walitaka pesa nyingi
Sirguson umri na nguvu zinamtupa , tofees kulipa pesa nyingi kwa ajili yake walichemka, bora sasahivi dogo oumar niasse anapangwa koeman alikuwa ananikela kutompangaMajembe wanajua wajibu wao kuna game Gueyye aliumia kama sikosei ile na Chelsea kati palipwaya sana.
Sirguson alikua mtamu kipindi akiwa Swansea ila naona bado anatafuta rythm yake pale everton bado hajaonesha makali yake.
Ila Niasse naona kama ana uzito flani ila nguvu anazo Big Sam kaja na mabadiliko na kaikuta timu ina michezo migumu kweli ila nahisi hicho kikombe atakivuka salama,Koeman angekuwepo mpaka leo timu ingekua kule kwa kina Swansea.Sirguson umri na nguvu zinamtupa , tofees kulipa pesa nyingi kwa ajili yake walichemka, bora sasahivi dogo oumar niasse anapangwa koeman alikuwa ananikela kutompanga