Southampton imekua kama kituo cha Soka cha Liverpool.

Kuna makala Moja nimeona gazeti la Mwanaspoti kama sikosei la jana linazungumzia hili jambo Liva kumfanya Soton kichaka chake.
Ok , hila saints wamejitahidi kumentain , zamani walikuwa wanashuka na kupanda daraja wao na jamaa zao wa south coast ( portmouth) , nafikiri liver wanaogopa hasara kuchukua mchezaji mgeni kabisa wa ligi wa pesa kubwa , hii issue iliwapataga liver kwa sean dundee
 
Ila Niasse naona kama ana uzito flani ila nguvu anazo Big Sam kaja na mabadiliko na kaikuta timu ina michezo migumu kweli ila nahisi hicho kikombe atakivuka salama,Koeman angekuwepo mpaka leo timu ingekua kule kwa kina Swansea.
Thats true, saints wanaleta mpaka makocha na kuwauza , eg pochetino, koeman , etc
 
Na kweli tumeona wakali wengi sana kutoka ligi nyingine wakija pale na kuchemka mateja Kezman,Kagawa,Robinho,ila Salah kamaster mchezo vizuri.

Next time utasikia gabbiadini ndani ya Liva kuna kijana mmoja pale soton watu hawamuoni ila anaibeba ile timu sana Ariel ROMelo alikipiga hata chelsea
 
Romelo namjua alikuwa chelsea , salah alikuwa chelsea , wakamuuza kwa roma then liver , siku nyingi liver walimtaka salah sema mourhino aliwafanyia makusudi kuwaujumu, kezman, the tiger ( yuko monaco) , veron, etc walichemka , unajua timu nyingine yenye scouting nzuri sana ni chelsea , tatixo wacheza wakija chelsea hawatumiki ipasavyo wanaamua kuondoka
 
Kuna mtu anaitwa Lemina, ndo Ngolo Kante wao !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…