Southern Serengeti to host Africas largest Pioneer Disneyland theme Park

Southern Serengeti to host Africas largest Pioneer Disneyland theme Park

Those who think they can change the world they can, if u think u don't leave them.

Mungu ibariki Tanzania
 
Ingekuwa kipindi Cha JK lingewezekana, lakini kipindi hiki Cha Jiwe! Trilioni 6! Asinunue dreamliner na bombadia?
 
SGR imekamilika asilimia ngapi?
Iknow ntakuja kuselfie
IMG_20200629_191924.jpg
 
Ingekuwa kipindi Cha JK lingewezekana,lakini kipindi hiki Cha Jiwe! Trilioni 6! Asinunue dreamliner na bombadia?
Filra finyu Sana. Raisi wetu ni mtu waalengo, nina uhakika he won't mind spending on it since we all know the returns are worth risk taking.
 
Hongera sana kwa serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Magufuli.
 
If it happens then it's good for the Tanzanian economy. We should also be proud of our neighbors and besides, it should benefit the region as well. All the best Bongo
 
Please change the title to "Dreamland is coming to Tanzania".
[emoji1][emoji1][emoji1] Majirani ni mwaka mmoja baadaye, tupeni mrejesho. Theme park ya Disneyland Serengeti imefikia wapi? Au ndio ile ambayo niliona jamaa wakicharazwa viboko na DC?
 
Back
Top Bottom