82/38 uliza lingine, na vipi Nairobi njaa na maji vimepatiwa ufumbuzi.SGR imekamilika asilimia ngapi?
We kaa kitako Mambo mazuri haha.Ingekuwa kipindi Cha JK lingewezekana,lakini kipindi hiki Cha Jiwe! Trilioni 6! Asinunue dreamliner na bombadia?
Filra finyu Sana. Raisi wetu ni mtu waalengo, nina uhakika he won't mind spending on it since we all know the returns are worth risk taking.Ingekuwa kipindi Cha JK lingewezekana,lakini kipindi hiki Cha Jiwe! Trilioni 6! Asinunue dreamliner na bombadia?
Ha haaa! Mwaka huu mtalia sanaPlease change the title to "Dreamland is coming to Tanzania".
Unataka ukapo na hashtag ya bendera yenu[emoji16][emoji16][emoji16]SGR imekamilika asilimia ngapi?
Tuko kampeni Mkuu.Mbona hakuna mahali Disney wameongelea hii ndoto.
[emoji1][emoji1][emoji1] Majirani ni mwaka mmoja baadaye, tupeni mrejesho. Theme park ya Disneyland Serengeti imefikia wapi? Au ndio ile ambayo niliona jamaa wakicharazwa viboko na DC?Please change the title to "Dreamland is coming to Tanzania".