Souwah alipata kadi nyekundu Crdb conf cup Simba mmejipangaje na ngao ya jamii?

Souwah alipata kadi nyekundu Crdb conf cup Simba mmejipangaje na ngao ya jamii?

Sijui niongeze volume

Mwamba alipata redkadi crdb conf cup

Nawaza mambo kadhaa ataruhusiwa kucheza ngao ya jamii

Iwapo hatoruhusiwa

Simba mmejipangaje

Nukuu ya leoi;::
Mwalimu yupo atawanyoosha yanga labda kwa uchawi ila kwa mpira simba sio level zenu endeleeni kujifariji team kila siku inapigwa faini ya kuruka ukuta.
 
Sijui niongeze volume

Mwamba alipata redkadi crdb conf cup

Nawaza mambo kadhaa ataruhusiwa kucheza ngao ya jamii

Iwapo hatoruhusiwa

Simba mmejipangaje

Nukuu ya leoi;::
Mnamuogopa Sowah?
Nilidhani ungeiogopa timu
 
REFA MUUAJI APEWA TENA STARS VS MOROCCO🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️
Hv huwa Watanzania tuna bahati gani na huyu mwamba?Kumbuka
Mamelodi vs Yanga CAFCL robo fainal
Simba vs Beekane. CAF CC fainali.
Tena kaletwa kuchezesha TANZANIA vs MOROCCO kesho.
AU KESHO ATATULIPA FADHILA?
 
Sijui niongeze volume

Mwamba alipata redkadi crdb conf cup

Nawaza mambo kadhaa ataruhusiwa kucheza ngao ya jamii

Iwapo hatoruhusiwa

Simba mmejipangaje

Nukuu ya leoi;::
Kwamba tegemeo lao ni huyo Sowah??? Imbombo ngafu
 
Sijui niongeze volume

Mwamba alipata redkadi crdb conf cup

Nawaza mambo kadhaa ataruhusiwa kucheza ngao ya jamii

Iwapo hatoruhusiwa

Simba mmejipangaje

Nukuu ya leoi;::
Kichwa mbovu wewe.Yeye ndiye atacheza namba zote kwa niaba ya timu?
 
Sijui niongeze volume

Mwamba alipata redkadi crdb conf cup

Nawaza mambo kadhaa ataruhusiwa kucheza ngao ya jamii

Iwapo hatoruhusiwa

Simba mmejipangaje

Nukuu ya leoi;::
Sio hivyo tu,mkataba wa simba na singida ni kwamba siku simba inacheza na yanga,sowah haruhusiwi kucheza
 
Sina uhakika kama ngao ya hisani ni moja ya michezo official ambayo inaamuliwa na kadi za kwenye ligi au FA.
 
Sio hivyo tu,mkataba wa simba na singida ni kwamba siku simba inacheza na yanga,sowah haruhusiwi kucheza
Mpwaa.masiharaaa

Wameusomaaa kwelii

Hahahahaaaaaaq

Pambafuuzaooooop

Dah umenikumbusha.mbali

Nahisi kuna mchezaji wa Yanga nae a alituwekea kinyaaa ......mpiraaa lih
 
Back
Top Bottom