I_manyota
Member
- Aug 15, 2012
- 48
- 44
Unajua vita kuu ya pili ya dunia Warusi na Wamarekani walifanya wizi flani ambao mpaka sasa i can tell you ndio unawapa jeuri hawa washenzi.
Hilter ujueri wake ndio uliompoza ila kimsingi jamaa alikua mbali sana katika mambo ya teknolijia hasa kwenye mambo ya silaha hizi, sema ndio vile ukijiona mjuaji kuna wajuaji zaidi yako na wanakutegea ujae kwenye kumi na nane zao wakunyooshe ndicho kilichwakuta wajerumani wanazi during second world war.
Baada ya ile vita kuisha Ussr na USA wajinga hawa waligawana vitu, trust me kuna documentary flani inarushwaga NATGEO sorry jina lake nimesahau nikikumbuka nitaweka hapa.Inasemekana hawa wakubwa wawili waliondoka na makabrasha huku kila mtu akisepa na wanasanyasi ambao walikua wakifanya research mbalimbali na kutengenza silaha nzito nzito for future use, na wengi wao walikua kizuizini sababu hilter hakutaka kabisa hao watu wawe exposed so alichofanya ni kuwaficha kwenye research center zake nying zilikua underground. wale waliofanikiwa kunusurika na balaa lile wengine walisepa Urusi kipindi ussr wengine wakaenda Marekani.
Sasa hiyo achana nayo, sio jambo letu nilikua nafanya reboot system 😁 😁 .
Luna 1 hichi ndicho chombo cha kwanza kurushwa angani wazee, warusi walifanya hiyo kitu miaka ya 1959, sema hiki kilifeli kiliishiwa charge na kupoteza signal milele inasemeka kipo somewhere around sun and earth watu wenye science yao wanajua vizuri hayo majina.
,
Jamaa waliendela kurusha vidude tu na kuvunja records mpaka pale waliporusha ambacho hichi ndio kilikua chombo cha kwanza kufika mwezini Luna 9 1966 miaka mitatu baadae Marekani wanapeleka chombo kikiwa na mtu ndani na kuvunja rekodi.
Mpaka inafikia hatua wamarekani wanapeleka chombo kikiwa na mtu ndani Appolo 11 hawa wajuba washarusha vidude kibao sasa najiuliza walikua hawana mpango huo au basi tu, maana hata hao wamarekani ilibidi NASA kuomba material flani flani kutoa USSR ilibidi siasa ikae kando iachwe science ifanye kazi yake. Maana jiulize tangu warusi waanze kurusha hivyo vidude imewachukua miaka mingapi USA kufanya hivyo 😂 sema wajinga wana kelele kama mashabiki wa Man UTD vile 😂😂